Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga.
Taarifa ya kifo hicho...
Kardinali ni kiongozi wa kiroho wa kanisa ambalo limehitimisha mfungo wao wa Novena kuombea haki na amani vitawale katika Taifa la Tanzania. Kimamlaka ni kiongozi mkubwa lakini ki protocali yuko...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20...
Habari zenu wanaJF wenzang
Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili...
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kwa ukali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wake wa urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi...
Heshima sana wanajamvi,
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata.
Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha...
Sasa Utaratibu wa kampeni kwa Chopa umekuwa maarufu sana hata CCM wameupenda
Freeman Mbowe akasajili Wazo lake awe analipwa na vyama vya siasa watakaofanya “ Kampeni kwa Chopo”
Ahsanteni sana 🙏✔️
Wakuu,
Sawa ndio kuna uzinduzi wa kampeni hapa Kawe lakini kelele zimezidi
Kuanzia bodaboda, madaladala na huu utitiri wa watu yaani kuna kelele ambazo sio za nchi hii
Huu uzinduzi...
ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua.
CCM wamepanga yafuatayo.
1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT.
2. Wamepanga...
H.Polepole alipotangaza kuongea na kuiambia nchi nzima ikae chonjo ili kumsikiliza nilikuwa na wasi wasi sana kwamba atachemka kwani mara nyingi sana watu wanapokuwa na high expectations huondoka...
Mwamba mambo yanambadilikia katika kiwango hawezi amini. Taarifa za uhakika kabisa amemkimbia Clayton Chiponda pale mwisho wa Reli. Hebu fikiria hilo anguko, yaani Ruyagwa anasepa kisa Baba Levo!
Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo
1: Achaneni na hoja ya...
JF
Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi
Yaani...
Rais Samia alivyoanza, alileta matumaini makubwa sana kwa Watanzania. Matendo na kauli zake ziliashiria kuwa yeye ni Rais wa Watanzania, siyo Rais wa CCM.
Niliwaza kuwa huyu mama kwa dhamira yake...
Ni wazi kuwa Mpina angeeleza kwa kinagaubaga ubaya wa Serikali hii ya Samia na kundi lake.
Act Wazalendo walichanga karata vizuri.
Mfano wa hoja zake za msingi ambazo kila mtanzania anazielewa...
Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao.
Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM...