Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi polisi wanatuchukulia wajinga,kwa nini umkamate mtu kwa kumteka tena ukichukulia ni kiongozi. Walishindwa kumpigia simu aende kituoni, au walishindwa kumfwata ofisini kwake, au nyumbani...
3 Reactions
17 Replies
882 Views
Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Hii nimeikuta mahali Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao wao akimtaja Edward Lowassa, Samuel Sitta na Rostam Aziz. 👇 Jee kwa maelezo haya nani alianzisha matumizi ya neno mtandao kwenye kundi lao?
26 Reactions
84 Replies
5K Views
Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili...
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na...
1 Reactions
47 Replies
2K Views
Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania...
43 Reactions
211 Replies
14K Views
Sijajua kuna nini maana kufuta Tarrif zote bila kumsikia Trump mwenyewe akipiga mkwara siyo jambo la kawaida Mlale unono 🙏
2 Reactions
12 Replies
1K Views
"Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
1 Reactions
20 Replies
1K Views
UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA. 🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu. Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Je Unadhani Mzee Mtei alikuwa sahihi au angeruhusu Mtu yoyote tu agombee kama wanavyofanya Chaumma? Na siyo kwamba Chadema haikuwa na Watu mashuhuri walikuwepo ila mwenyekiti Mtei aliiweka...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Kweli mama yetu unagombea na huyu?
3 Reactions
7 Replies
491 Views
Hata kama ni Kwa baiskeli, Haya mambo ya Miaka 10 tutakuja kuleta watu waturejeshe tulikotoka, Nimejiridhisha anapendwa kuliko yoyote Duniani kwa sasa. Wakati ukifika tutaongea Kwa sauti.
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz amekuwa ndani ya mifumo ya CCM tangu mfumo wa vyama vingi nchini unapoanza Wakati wa Mzee Mkapa alikuwa ndiye Mhazini wa CCM baada ya kifo cha Salome Nawatakia...
1 Reactions
18 Replies
757 Views
Niweke rekodi sawasawa hapa jamvini na nieleweke vyema na ninatoa "challange" kama kuna mwanajamvi yoyote ndani ya JF aliyempenda na kusimama na The Late John Pombe Magufuli na ajitokeze ! Yapo...
6 Reactions
20 Replies
931 Views
Dodoma stand up. Njooni Convention hapa tule MEMA ya Chama. Karibuni wote
1 Reactions
20 Replies
727 Views
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba. Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa. Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi...
70 Reactions
95 Replies
6K Views
Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
4 Reactions
14 Replies
693 Views
Kuna ka mfanano kati ya Kamala Harris na Samia suluhu 1. Wote ni wanawake ambao wamekuwa Makamu wa Rais wa nchi zao kwa Mara ya kwanza 2. Wote wamerithi kugombea kiti cha Urais kutokana na wenza...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha. Taarifa zaidi kukujia
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Kesho saa 4 asubuhi, ofisini Dodoma, Swagaswaga House, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametangaza kuwa atazungumza na Waandishi wa Habari juu ya Mambo mbali mbali yanayohusu...
7 Reactions
316 Replies
40K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…