Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akupe maisha marefu hv kuna kata gani jimbo la segerea hujawapa maendeleo kiufup mama chukua maua yako Kupata matukio na taarifa...
2 Reactions
6 Replies
607 Views
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time. Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii...
5 Reactions
84 Replies
4K Views
Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets. Moja ya matatizo...
17 Reactions
89 Replies
7K Views
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha. Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia...
12 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Kauli ya Rais wa Awamu ya 4 Dk. Jakaya Mrisho Kikwete haikuwa ya kubahatisha, huenda kwa jinsi chombo kinavyozidi kuzama mabadiliko makubwa yakafanyika ya kiuongozi mwaka 2025. Hata hivyo kauli...
10 Reactions
101 Replies
10K Views
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
22 Reactions
97 Replies
5K Views
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia ...
0 Reactions
30 Replies
17K Views
Siamini katika kuvunja katiba, vyovyote iwavyo ningependa uchaguzi ufanyike mwaka huu, kukiwa na ushiriki wa vyama vyote na CHADEMA kikiwepo. Kama sauti yangu ingekuwa inasikika ningemshauri...
4 Reactions
10 Replies
609 Views
Mkuu wa Majeshi Jeneral Jacob Nkunda, amewaonya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutojihusha na masuala ya kisiasa na jeshi halitasita kumfuta kazi askari atakayebainika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow! Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha. Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya...
24 Reactions
170 Replies
6K Views
  • Featured
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda aliyeagiza mwananchi mmoja kukamatwa na kuwenda rumande...
14 Reactions
106 Replies
9K Views
Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa...
36 Reactions
167 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
0 Reactions
8 Replies
793 Views
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya. Nawatakia Krismas njema PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje...
8 Reactions
76 Replies
3K Views
Back
Top Bottom