Ikumbukwe Agosti 31, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amesema wakati wa janga la UVIKO-19 Rais Samia Suluhu alitumia fedha za kujikimu na janga hilo kufanya miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amekuwa madarakani tangu 1994. Katika Uchaguzi wa 2020 aliona kabisa angeweza kuondolewa madarakani kutokana na kukubalika kwa mpinzani wake Syarhei...
Mkuu wa zamani wa mkoa wa Lindi na mbunge mstaafu wa jimbo la Mbozi, Godfrey Zambi amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kuwania kiti cha ubunge cha jimbo la Mbozi...
Huyo Comedian wa Malawi anacontent makini sana za kisiasa.
Hii ni response yake kwa Kasesela aliyetaka watu waache kutumia huduma kama hawatampigia kura mgombea wa CCM
Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025.
Kesi...
“Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania...
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye...
Katika kapneni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, baadhi ya wagombea ubunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa ahadi wakigusa kero za wananchi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa...
Akiwa Igunga Mkoani Tabora kwenye muendelezo wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Kituo kikuu cha Mabasi...
Ni kwa masikitiko makubwa ninaandika uzi huu. Ninaandika baada ya kuwa nimechukua muda wa kutosha kufuatilia yanayojiri katika nchi zinazotuzunguka kulingana na hali yetu halisi hapa kama ilivyo...
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, unaopita Singida, utakuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana...
Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Mfaume Khamis Hassan akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA...
Shamra shamra za kampeni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi!
Leo magari yenye chata la mtia nia kupitia Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda yameonekana...