Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za...
Kati ya Septemba 5 -7 2025, JamiiForums ilipita changamoto mbalimbali huku Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa...
Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.
Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Watanzania wawili, Kumbusho Kagine na Bubelwa Kaiza, waliokuwa wakiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga Kanuni za...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe...
Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe
"Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tandahimba na Newala (TANECU LTD) Karimu Chipola amemuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na...
Mgombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Asenga ameahidi kutatatua changamoto ya miundombinu ya barabara za mitaa kwa kupata kilomita 10 za kiwango cha...
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mohamed Mchengerwa anaweka wazi kuwa endapo akipewa ridhaa na Wananchi wa Rufiji kuwa Mbunge katika awamu ijayo ya Miaka Mitano ambapo...
Tume huru ya uchaguzi Tanzania inatgkiwa itoe ufafanuzi wa kanuni na sheria juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za siasa
Sidhani kama hawa watoto wanauelewa wa chochote
=========
Mkutano Wa...
Mgombea Ubunge katika jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mara Esther Bulaya amezindua kampeni za ubunge katika jimbo hilo huku akitaja vipaumbele mbalimbali atakavyohakikisha anasimamia baada ya...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii:
FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki.
1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba...
Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu.
"Humsikii Mtu kwenye Chma Cha...
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi.
Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke...
Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya.
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuwa Mbunge kwa awamu nyingine ataongeza na kuboresha...
Sintofahamu imeibuka katika eneo la Usinge Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora kabla ya mapokezi ya mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Gombo Samandito...
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kufanya Kampeni ya kuomba kura Kigoma Mjini, ambapo kupitia Mahojiano ya Wasafi TV baadhi ya wananchi wa...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook Askofu Bagonza ameandika haya:
UCHAGUZI SI “Tumbo la Kuhara”: TURIDHIANE KWANZA.
Sikati tamaa kuleta wito wa MARIDHIANO katika Taifa letu kabla ya...