Hii miaka aliyokuwa anaiongoza mama ilikuwa ya awamu ya 5 ya Magufuli, mama awamu yake inaaza Oktoba 2025 hadi 2030 kwa kuchaguliwa kwa kupiga kura hapo sasa anaenda kuwa rais kamili wa...
Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje...
Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha...
Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — “eti mnataka tuandamane ili iweje sasa?” 😏...
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala...
Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA.
Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi...
Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe.
Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya...
Kwa matukio ambayo wanayoyafanya polisi hakika wananchi wameishiwa pawa ya kuwaamini tena na wameshatengeneza uadui mkubwa katika siku za usoni, mahakama nayo dalili zote zinaonyesha wanafanya...
KUlikuwa na haja gani ya kuwa na huu uchaguzi ikiwa ni maigizo matupu.
Nimezunguka Dar yote sijaona picha wala bango la mgombea mwingine yeyote wa Uraisi mbali ya Samia.
Ikija kwa wabunge na...
Ni wakati sasa viongozi wa dini waoneshe ujasiri wa kweli kwa kuandaa matembezi ya amani yenye lengo mahsusi la kukemea vitendo vya utekaji, ukatili na uonevu vinavyowakumba raia wasio na hatia...
Kabila la Wamwela kutoka wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi likiongozwa na kiongozi wa Kabila hilo Chifu Ismail Malibiche Nakotyo leo Septemba 18, 2025 limefanya ibada maalum ya kuombea taifa amani...
Tulipobadili mbinu ya mapambano ya kidemokrasia nchini kwasababu tulikuwa tumejiridhisha kwamba Watanzania hawajawa tayari kupigania haki zao, Huyu Lema na wenzake walianzisha uasi ndani ya Chama...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maendeleo ni mchakato wa hatua endelevu na hakuna awamu inayoweza kuyakamilisha...
Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao
=================
Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani...
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni unaofanyika tarehe 17 Septemba, 2025, Kusini Unguja, Zanzibar amesema, "Watanzania...
Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia .
Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani...
CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri...
Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...