Sote tunafahamu juu ya utendaji mbaya kabisa wa jeshi la polisi linapokuja suala la haki. Polisi walio wengi hakuna chochote wanachoelewa, zaidi ya kuoiga watu.
Kuna matukio mengi kwenye mahakama...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema serikali ya ADC itahakikisha kila halmashauri nchini inakuwa...
Wakuu,
Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri?
Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio...
Mh Rais Samia ilani ya ccm inasemaje kuhusu utekwaji na kuuwa kwa vijana wa kitanzania?
Lejea mdude, SOKA shyrose na wenzake?
Je vijana msio na ajira mtampa ajira Samia Suluhu hassani?
Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii.
Sasa tuone watalinda wapi.
Wakuu,
Huu uchaguzi ni balaa!
======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani.
Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha...
Je, Hamphrey Polepole anaandaliwa kurithi mikoba ya Lisu na nafasi ya uenyekiti wa chadema masalia Taifa?
Kwanini sasa, na mbona mapema mno?
Kwasasababu kuna kila dalili na viashiria vya...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu...
Mgombea Udiwani Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Selemani Kaniki ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa elimu kwa Jeshi la akiba (Mgambo)...
Wamasai wa roliondo mjitokeze kwenye maandamano ya pamoja hii ndio nafasi yenu ya kuondoa manyanayaso mnayopitia.
Mliitiwa polisi mlipigwa, mlifungiwa huduma za kijamii na wanasiasa wasio...
Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia...
Vituko na vibwanga vya wanasiasa vinazidi kuendelea. Huyu mbunge wa viti maalum akiwa na wanachama wengine wameonyesha ushamba na uchawa wa pro max katika kuomba kura.
Nipo pale mbele naendelea...
Kura zinatafutwa haswa jamani!
====================
Mgombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Shayo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba akiwa na wagombea...
Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais...
Hiki ni kituko au ni bwebwe kuonyesha nao wanamsimamo mkali? Yani picha tu ndio uharishe mkutano, vipi gharama za kuandaa huo mkutano, vipi watu walifika?
Kwani kulikuwa na shida gani kuondoa...