Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais.
It's useless to have the PM as...
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu...
Dada mange huyu mwenzetu alipigwa risasi kifuani alafu wakamgonga na gari ili kupoteza ushahid, hii ni Tarime, hii siku wamemleta marehemu vijana walikua na uchungu atari. Tulikuwa tunalia huku...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonyesha kwa dhahiri kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa...
Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais...
Ifahamu serikali isiyokubalika ipo tu Ikulu na bungeni kwasababu wananchi hawajachukua majengo yao, hawa hawawezi kusimama mbele ya umma hata mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29 ambapo kumetoa...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde ameomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumpatia Gari ambalo alipewa kama mmoja wa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za...
Baada ya kuwa Waziri Mkuu Mteuli wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Natambua uzito wa majukumu haya na matarajio ya Watanzania, na amehaidi kufanya kazi kwa bidii na...
Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara...
Anaandika Mwanasiasa na mwanaharakati Godlisten Malisa.......
"CRDB Bank imetoa maua na tuzo ya pole kwa The Voice Bar Kinyerezi, inayodaiwa kuharibiwa kutokana na ghasia za Oktoba 29. Ni jambo...
GT
Baadhi ya mambo yaliyokufa
1. Vyombo vya habari Tanzania
2. Machawa na uchawa
3. Watu wasiojulikana.
4. Simba na yanga
5. Jina la Lake oil (Loading)
Utangulizi
Amani ni matokeo ya haki, uwazi, na uhalali wa utawala. Taifa lolote linalotaka kudumu katika amani lazima lijenge misingi yake juu ya ridhaa ya wananchi, kuheshimu katiba, na kulinda...
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa...
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya...
Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia...
Tulitarajia angekuwa Waziri Mkuu wetu, lakini, kwakweli kabisa, that would've been too much of gender war!
Tunaomba Tulia apate wizara ya mambo ya nje! ... P/SE! 🙏
Ndugu zangu Watanzania,
Acheni Unyumbu, acheni ujinga na uhayawani ,acheni ushamba,acheni umbumbumbu ,acheni kutumika vibaya kama mazuzu. Hivi mtu na akili zako Timamu kichwani na unayejitambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.