"Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye...
Tuna mifano mingi duniani inaonyesha kwamba njia rahisi sana na ya kudumu yenye afya pia ni njia ya kukaa chini na kuzungumza.
Tuna mifano mingi sana ambayo inaonyesha matumizi ya nguvu licha ya...
Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Pwani hii hapa.
"Katika kundi la watu 13 waliochukuliwa Kisutu kwenda kupigwa maporini Ununio wa kwanza ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar...
Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi...
Wakuu,
Kabla ya siku ya kesi kusikilizwa yalitoka matamko mengi ya kuzuia wananchi kwenda kusikiliza kesi hiyo na vitisho mbalimbali kuwa watakaojitokeza watashughulikiwa.
CCM nayo hakikuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata...
Ripoti kutoka Mahakamani, Wakili Peter Kibatala amesema Lissu amegoma kusikiliza kesi yake Mtandaoni sababu sheria imekiukwa, alipaswa awepo kwanza mahakamani kusomewa Mashtaka kwa mara ya kwanza...
TANGANYIKA TULILOGWA? TAFAKURI YA HATIMA YETU KAMA TAIFA
Kuna maswali yanayozidi kuzua masikitiko na uchungu mioyoni mwa Watanzania wengi. Ni kana kwamba tunaishi kwenye ardhi iliyolaaniwa au...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimepokea majeruhi 21 wanaodaiwa kujeruhiwa na askari wa Jeshi la Polisi katika tukio la Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Hakimu...
"Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.
Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya...
Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa...
"Mimi nina maswali ya kujiuliza na naomba watanzania wote tujiulize maswali haya, kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? Kama hao watu wanaotupiga ni askari wa kawaida...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika...
Wakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24...
"Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye...
Nimeshtushwa mno na shambulio la kikatili linalokosa misingi ya utu na lisiloweza kuelezeka mbele ya jamii yeyote uenye watu timamu.
Ni msingi wa Kisheria na Kikatiba kwamba:
1. Mahakama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.