Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua...
1 Reactions
52 Replies
1K Views
Watanzania wanaibiwa alafu wanaambiwa cheka tuone kama hujakasirika tukutane October 29 tukinukishe. Tunataka mabadiliko hatuwezi kuibiwa alafu tuambiwe cheka, jeshi linapaswa kutambuwa wizi...
3 Reactions
4 Replies
181 Views
Mwanasiasa na Kiongozi mstaafu Mwinjilisti Agrey Mwanry leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 ametumia maandiko matakatifu ya Biblia kumuombea kura Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa na Mkutano...
1 Reactions
3 Replies
223 Views
Wakuu Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyarandu amewataka wananchi kujitokeza kusikiliza sera za wagombea katika nafasi mbali mbali huku akiwaomba wananchi kumuombea mgombea...
0 Reactions
4 Replies
259 Views
Wakazi wa mtaa wa Maji ya Shamba wilayani Kondoa wameilalamikia KONDUWASA kwa kufunga mita kwenye mradi wa maji walioupata kwa msaada wa wahisani, wakisema mradi huo si wa serikali. Wameitaka mita...
2 Reactions
2 Replies
275 Views
Salamu, Ya Mwendokasi mmeyaona ? October 29 Twendeni tukawaboost. Ajira Zipo.
4 Reactions
13 Replies
353 Views
Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya...
2 Reactions
12 Replies
427 Views
Ni suala la muda tu. Unaweza ukawatisha watu kila muda washughulikiwe. Unaweza ukajiita amiri jeshi mkuu, lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma...
11 Reactions
6 Replies
299 Views
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
2 Reactions
5 Replies
357 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai...
0 Reactions
3 Replies
199 Views
1. Abadili katiba itakayomfanya atawale mpaka azeeke awe kikongwe, maana support hiyo anayo, ili aendelee kutuletea maendeleo. 2. Awatoe wa bara wote waliopo zanzibar, maana hao watu wanadamu...
6 Reactions
10 Replies
324 Views
Serikali imekanusha madai yanayodai ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo, huku taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la...
0 Reactions
6 Replies
308 Views
Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake. Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake...
18 Reactions
101 Replies
4K Views
Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
3 Reactions
5 Replies
291 Views
Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi...
2 Reactions
1 Replies
198 Views
TAARIFA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2025Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 12, 2025 wakati...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Polepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi! Ukiwa mjamaa hakuna wakukutetea maana wenyewe wanaamini chama kuliko uhai wa mtu. Polepole alipenda hizo nchi za kijamaa kama China, N Korea na...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani...
1 Reactions
13 Replies
730 Views
Tuna mgombea aliegawa pikipiki nchi nzima, tuna mgombea aliegawa baiskeli nchi nzima, yupo na mnamuona alafu mnanitumia messeji kwamba rushwa ni adui wa maendeleo, mchague mgombea asietoa rushwa...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…