Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye...
1 Reactions
15 Replies
467 Views
https://youtu.be/xAt_0R-fv0k?si=oT7VUl1dtDP9SkZi
0 Reactions
2 Replies
119 Views
Wenje tangu ahamie CCM amecharuka zaidi :Alien: :Alien::Alien: Vituko vinaendelea huko Wenje anasema amepata wokovu CCM leo hii anaiponda CHADEMA eti ni hawana mipango wanashinda Mtandaoni kazi...
1 Reactions
6 Replies
259 Views
Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi...
2 Reactions
5 Replies
286 Views
CCM wanambinu zao za dakika zajioni katika kuzitafuta kura. Lakini kama uchaguzi usikuwepo mwaka huu basi bila shaka wananchi wakeendela kuteseka katika kudai fidia zao ====================...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja Tumika baba! ==================== Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne...
3 Reactions
4 Replies
447 Views
Sina shaka na hili. Tanzania tuna tatizo. Tunafanya uchaguzi bila upinzani. Vyama CCM B vimewekwa baada ya kuhongwa ili kuhalalisha uongo. Ni uchaguzi gani halali wa huru na haki bila Lissu? Ni...
2 Reactions
4 Replies
225 Views
Watanzania Tunaishi ndani ya gereza kubwa lisilokuwa na kuta. Hakuna mtanzania aliye huru, sisi wote ni wafungwa wa kisiasa
2 Reactions
9 Replies
275 Views
Baada ya sinema za kuwasingizia mapadre kuwa wanajiteka ama wana stress za madeni kuonekana kama zinastukiwa na wananchi, sasa wanakuja na mbinu hiyo mpya iitakayowafinya vizuri mapdre mpk wakome...
2 Reactions
25 Replies
860 Views
Jumuiya ya Maridhiano ya Mkoa wa Shinyanga imewasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29 mwaka huu, wakisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kutimiza haki ya kikatiba...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara zake za kampeni ndani ya jimbo hilo, ambapo leo Oktoba 18, 2025...
1 Reactions
2 Replies
190 Views
Siamini katika kuvunja katiba, vyovyote iwavyo ningependa uchaguzi ufanyike mwaka huu, kukiwa na ushiriki wa vyama vyote na CHADEMA kikiwepo. Kama sauti yangu ingekuwa inasikika ningemshauri...
4 Reactions
10 Replies
611 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya...
3 Reactions
16 Replies
638 Views
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania. Msome anavyomchambua Polepole. ========== Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu...
13 Reactions
111 Replies
6K Views
Utangulizi Tanzania ya leo imegawanyika kimtazamo, si kwa misingi ya kabila au dini, bali kwa propaganda zinazoenezwa na pande mbili kuu za kisiasa — CCM na upinzani. Kila upande unajenga...
3 Reactions
7 Replies
406 Views
Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere ...
5 Reactions
6 Replies
434 Views
Wakuu, Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni M - Maandamano O - October 29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe...
6 Reactions
14 Replies
735 Views
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za...
2 Reactions
12 Replies
358 Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…