Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa!
Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele...
Hawa wasitupigie kelele.
Huwezi ukawa unafanya kitu kile kile miaka yote alafu ukategemea matokeo tofauti. Lissu alipowaambia wajiunge nae kwenye NRNE walisema kuwa Uchafuzi, sorry, Uchaguzi upo...
Wanabodi,
Kuna habari njema kwa Diaspora wetu, wale Diaspora ambao wako ughaibuni na hawajajilipua, watawekewa utaratibu kuwawezesha kupiga kura.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni katika kipindi cha...
Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi...
“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amewataka Watanzania, hususan Wazanzibari, kuacha mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Daniel Shilla, amesema licha ya Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yote ya Mkoa huo...
Amani inazidi kupigiwa debe kila kukicha. Na jeshi la polisi wakiwa msatari wa mbele sana kipindi hichi.
Uchaguzi ukiisha hapa hizi bwebwe zote kwisha
==================
Mkaguzi Msaidizi wa Kata...
Huyu jamaa naye anamikwara sana!
====================
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, amesema serikali haitatoa kibali chochote cha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025...
.... Kamwe siwezi kusema 'Never' kwa Tanzania yetu hii; lakini tukiikosa fursa hii ya Oktoba 29... 'It is going to be very messy in future kuwaondoa madarakani waovu hawa.
Wanatuonyesha vigali...
Kutokana na changamoto za msaada wa kisheria zinazodaiwa kuwakabili wakazi wa Jimbo la Bukene, Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameahidi kuanzisha...
Washiriki wa mjadala wa kitaalamu ulioandaliwa na Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamepongeza jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
Samia Suluhu, Marais wenzako walipigiwa kura japo waliiba. Lakini wewe wataka kura za Mtutu wa Bunduki, damu na machozi. Hakika Mungu ni wetu sote.
Ninachojua utatuteka hautatumaliza. Utatuua...
Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini.
Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU...
Katika vita yoyote, mshindi mara zote ni yule mwenye kisosi jasiri, nyenzo za vita, na mbinu za ushindi. Hata hivyo, ujasiri ndio kiambata muhimu zaidi katika saikolojia ya mwanajeshi.
Bila...
Ukisikia watu wana wito wa Mungu muelewe.Dunstan Maboya Askofu Mkuu wa Kanisa la Mwampossa alikuwa Polisi akaacha kazi ya upolisi na kuanzisha kanisa la Calvary Assemblies of God ambayo kwa sasa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Mkama, amewataka wananchi kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa mitandaoni kwa kueleza kuwa ni kinyume cha sheria na unaweza kuvuruga amani ya nchi...
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi kinondoni amesema kuwa Jeshi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano kamanda huyo amesema kuwa jeshi limezuia...
Mwalimu Uzima Mkufunzi wa masuala ya amani kutokea Baraza Kuu la Waislama Tanzania (BAKWATA) amewakumbusha viongozi wa dini na wananchi juu ya uzalendo wa mtanzania ni kupiga kura huku akipita...