Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu...
1 Reactions
6 Replies
351 Views
NYIMBO ZA VIJANA MSIBANI NI KIASHIRIA CHA IBADA YA UASI. TUWEKENI MAMBO SAWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Nimeona clip kadhaa za misiba na mazishi vijana wakiimba nyimbo bila machozi...
11 Reactions
40 Replies
1K Views
Rais Samia amesema tumeamua kuwa na wizara kamili badala ya kuwa na idara ndani ya wizara yenye mambo mengi, vile vile ninafikiria kuwa na washauri wa masuala ya vijana ndani ya ofisi ya rais.
0 Reactions
5 Replies
267 Views
"Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Sheikh amerejelea mahubiri ya Viongozi wa Kanisa Katoliki yanayoongelea kuwepo kwa haki nchini akisema amani ndiyo huleta haki, akielezea wakati ambapo wananchi walikuwa lockdown iliyosababisha...
3 Reactions
93 Replies
2K Views
Ukimsikiliza huyu mama kwa anayoyaahidi kama so yeye aliekuwa madarakani nakushindwa kufanya hayo hayo, wanafanya siasa ionekane ni mchezo wa kitapeli. Leo hii anaahidi ahadi ambazo unaweza dhani...
4 Reactions
2 Replies
203 Views
Anajifanya anarudi nyuma baada ya kuuwa wananchi sababu ameshikwa pabaya. Dunia imemshika pabaya. Yuko kwenye maji ya moto sasa hivi. Dunia imegoma kutambua Urasi wake. So now anajaribu kucheza na...
2 Reactions
3 Replies
211 Views
Maseneta wawili wa Marekani, Jim Risch na Jeanne Shaheen, wametoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Tanzania wakidai kuwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 29 yalipangwa kabla ya wananchi kupiga kura...
5 Reactions
17 Replies
750 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake amesema tayari ameshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia...
0 Reactions
9 Replies
445 Views
Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo...
3 Reactions
23 Replies
787 Views
Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka. Rais Samia ameongeza kwa...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Tanzania Episcopal Conference (TEC) walitoa TAMKO kuhusu matendo ya UTEKAJI na MAUAJI ya raia (Mkuranga, Kibiti, Rufiji - MKIRU) wakati wa JPM. TEC walilaani matendo ya vurugu na mauaji. Walisema...
6 Reactions
9 Replies
431 Views
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba...
2 Reactions
1 Replies
155 Views
Tuko salama! Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao. Gen z wao huwezi mletea...
4 Reactions
10 Replies
496 Views
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
3 Reactions
108 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi...
3 Reactions
4 Replies
271 Views
Wakati Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama “Baba Levo,” akila kiapo cha uaminifu Bungeni, amejikuta akirudia kiapo hicho baada ya Spika wa Bunge, Mhe...
2 Reactions
18 Replies
869 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ameunga mkono wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, wa kufanyika kwa uchunguzi huru kuhusu vifo na...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Back
Top Bottom