Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu Salam, Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Akabidhi Saruji mifuko 150, jezi, mipira, nyavu, shuka na kitanda kwa zahanati, magodoro 30. Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma katika ziara yake Jana...
0 Reactions
6 Replies
454 Views
Dkt Tulia Ackson Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia ambaye anataka kutujengea kawe yetu ibadilike. Kupata matukio na...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada...
2 Reactions
12 Replies
698 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025. Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo...
29 Reactions
153 Replies
12K Views
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu...
13 Reactions
104 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu. Makonda ametoa kauli hiyo jana...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa...
1 Reactions
5 Replies
548 Views
Niwatake viongozi wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa, "Tuzingatie taratibu na sheria za nchi, Uchaguzi huu uwe ni fursa ya kuimarisha zaidi umoja na demokrasia yetu ili tupate viongozi bora...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini. Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma :AAAA: :AAAA: :AAAA: msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
BALOZI NCHIMBI AELEKEZA WIZARA YA MAJI IWEKE MSUKUMO MRADI WA TARIME - RORYA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Wizara ya Maji...
2 Reactions
3 Replies
405 Views
Wanabodi, Harakati ya no reforms, no elections imepamba moto katika kipindi ambacho vyombo vya usalama vinaendelea kuwathibiti viongozi wa Chama cha demokrasia na maendeleo. Jitihada za viongozi...
1 Reactions
6 Replies
448 Views
“Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume. Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia...
9 Reactions
9 Replies
983 Views
Wakuu, Hivi mnapitia kama nnachopitia mimi? Kwasababu natumia sana Telegram naazimika kutumia VPN ili mambo yaende baada ya kupigwa pini na wajomba. Sasa kazi inaanza ukiwasha VPN unaweza kupata...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
"Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
Back
Top Bottom