Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma. Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda...
4 Reactions
13 Replies
758 Views
Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake? Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio. Matendo...
4 Reactions
9 Replies
519 Views
Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan? Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje? Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Khamis Mgeja, ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, amefariki dunia jana Jumatatu Novemba 3, 2025. Kwa mujibu wa taarifa...
1 Reactions
13 Replies
642 Views
1. Tabora, wanyamwezi mnatuchelewesha kupata Tanganyika yetu amkane 2. Ruvuma (Wangoni, wamatengo na wayao achane ujinga) 3. Kigoma (Waha amkeni nyie ni miongoni mwa mikoa iliyosahaulika...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea 2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura. Kwa...
3 Reactions
6 Replies
463 Views
Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi. Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye. Siye hata tukipewa bunduki...
2 Reactions
1 Replies
267 Views
Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
14 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa . Iwe kwenye huduma au siasa au chochote. Kuanzia Leo uchawa utakoma Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua...
25 Reactions
66 Replies
3K Views
Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
7 Replies
490 Views
Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Friends and Our Enemies, 'How you do anything,is how you do everything'..Dante... Kongole nyingi sana kwako Madam President Samia kwa kusimama imara wewe kama Amiri Jeshi Mkuu na Jeshi pamoja na...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara...
5 Reactions
11 Replies
481 Views
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98, Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na...
2 Reactions
10 Replies
453 Views
Ningependa kuzungumzia kwa kirefu lengo la kichwa cha mada hii; lakini hiyo siyo dhumuni la haya machache nitakayo yaweka hapa. Mashujaa, waTanzania wote, hasa vijana mliojitokeza maeneo yote ya...
6 Reactions
22 Replies
905 Views
Baada ya kuchambua video ya leo ya Samia nimeona kwa macho yangu kuwa alipo tangaziwa na kupewa cheti sio Jengo/Ofisi za Tume Dodoma, kwa maana nyingine Juhudi zetu za watu kwenda maeneo ya tume...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…