28 May 2026
CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE
https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o
Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu...
"Hongera sana Gen Z, hongera sana waandamanaji wote. Mmejitoa bila kujibakiza kwa taifa lenu; wengine mmepoteza maisha, wengine mmepoteza viungo vya miili na kuwa na ulemavu wa kudumu. Historia ya...
Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameyasema hayo Leo, 1, June 2026 alipokuwa akiongea na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo Maandamano ya...
Ndugu zangu Watanzania, kama kuna jambo la kumshukuru Mungu kuhusu matukio ya Oktoba 29, basi ni hili: taifa letu lilitikisika—lakini halikuanguka.
Na ndani ya mtikisiko huo, tuliona kitu cha...
"Hatuwezi kuwa na taifa ambalo halitaki ukosowaji, halitaki uwajibikaji yaani siku hizi Tanzania ukikosoa ni kosa yaani. Yaani ukikosoa wanaona huyu ni msaliti, huyu anafanya nini, eeh, kosa...
Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa...
Kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na kinachoendelea Tanzania, Muswada huu ambao umetengenezwa na Seneta Ted Cruz na Shaheen unasema yafuatayo:
(1) Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi wake...
Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es...
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoachiwa huru, Mchungaji Godfrey Malisa amesema kipindi cha siku 183 alizokaa gerezani kilikuwa chuo cha mafunzo, huku akishauri kufanyika kwa marekebisho...
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.
Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.
Bado hatujapata majibu yake, kule...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Japo ni ukweli Mchungu Lakini ni lazima Tukubali Ukweli kuwa yale hayakuwa maandamano ya Amani wala hayakupangwa kuwa maandamano ya Amani wala wapangaji na waandamanaji...
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa baada ya uchaguzi kuisha na Serikali ilichelewa kutoa taarifa ya matukio ya wakati na baada ya...
Huyu ni Senator Ted Cruz kutoka Marekani anazungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge la Marekani kuhusu uteuzi wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman.
Senator Cruz anasema kuwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: "Tukiangalia kwenye siku ya ya uchaguzi, baadhi ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.