Mapambio kila kukicha bila kuchoka
==
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine, kiko kwenye mchakato wa kwenda mahakamani kuishtaki Tume Huru ya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima ameweka wazi kuwa:
Tume ya Uchaguzi haihusiki na uandishi wa sheria, hivyo kwa wale wanaotishia kususia uchaguzi...
Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake…tume huwa inakata kutokana na makosa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizotungwa na Bunge…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi...
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali...
Salam Wakuu,
Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.
Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.
Tundu Lissu ameyasema...
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.
Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya...
Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman amesema harakati za kubadili mifumo ya uongozi Zanzibar haziwezi kusimama vizazi hadi vizazi kwa sababu Zanzibar inashindwa...
Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?
Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?
Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?
Chadema ni nani Hawa? Wako...
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amepokea Wanachama wapya 25 waliojiunga na Chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete...
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza...
Wakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC...
Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika;
"Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.