Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu vijana, Kama kizazi cha leo na kesho, tunabeba nguvu kubwa na nafasi ya kipekee katika kujenga taifa lenye maendeleo na ustawi. Lakini ili tufikie ndoto zetu na kuona taifa letu...
1 Reactions
13 Replies
420 Views
Mbona vyombo vya habari haviripoti kanusho la wizara ya afya kama ni Ai. Vyombo vya habari vya ndani vinaripoti tu maridhiano sasa tujiulize ni maridhano ya nini ? inamaana hawajui kinachoendelea.
1 Reactions
3 Replies
203 Views
“CCM ni chama cha kitaifa, chama ambacho kimeenea nchi nzima- Zanzibar na Tanzania bara, hakina sababu ya kuwa na ushirikiano wa vyama kama ‘vyama project’. Hivi ni vyama kamili, vyenye usajili...
0 Reactions
9 Replies
297 Views
Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na...
4 Reactions
10 Replies
414 Views
Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake...
2 Reactions
5 Replies
373 Views
Bashiru Ally, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa amani, haki na uhuru ni nguzo muhimu ambazo haziwezi kupuuzwa. Ameyasema hayo wakati akifanya...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Mwamba huyu hapa. Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Shura ya Maimamu nchini. Amenyooka kama rula. Anauliza unawezaje kusikitishwa na mauaji na ukatoa salamu za rambirambi kwa wafiwa, halafu...
4 Reactions
7 Replies
300 Views
Kama Taifa tumeshaumbuka! Hakuna namna ya kuficha ukweli, hata serikali ikijaribu kuuficha wananchi watausema hata kwa kunung'unika tu mioyoni mwao kama watatishwa wasisema hadharani Video za...
2 Reactions
11 Replies
313 Views
Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika. Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya...
4 Reactions
5 Replies
280 Views
Nimekutana na andiko hili huko Mtandaoni, nikaona siyo vibaya nishee tujadiliane kuhusu hizi takwimu za undugunization, Shemejinaizesheni na kujuana: TUMEFIKAJE HAPA, BUNGE LA FAMILIA NA...
8 Reactions
11 Replies
350 Views
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha...
16 Reactions
123 Replies
3K Views
Kwa wajuzi wa mambo, Dotto Biteko na wenzake watokao kanda ya ziwa walitumika kutaka kupata kura kabla ya uchafuzi haujaharibika. Hivyo, sasa wameishajipa ushindi, hawahitaji msaada wao. Je...
6 Reactions
20 Replies
910 Views
Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna...
23 Reactions
55 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa...
1 Reactions
11 Replies
294 Views
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amesema haungani na hoja ya kufanya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea Oktoba 29 wakati akieleza kuwa serikali...
3 Reactions
5 Replies
402 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM), Fadhil Maganya amesema kilichotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi kwa baadhi ya vijana kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali ya nchi, hakikuwahi...
1 Reactions
19 Replies
472 Views
TAARIFA KWA UMMA JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka...
3 Reactions
3 Replies
259 Views
Wakuu, Baada ya maandamano vifo vingi vimetokea vikisisabishwa na risasi za polisi. Wachache wamefanikiwa kupata miili ya wapendwa wengi huku wengi wazikinga ndugu zao kwa kutumia nguo, viatu na...
1 Reactions
5 Replies
659 Views
ZAMBARAU walisaini KANUNI na kushiriki uchaguzi. Baada ya KUBUTULIWA wanasema UCHAGUZI 2025 haukuwa HALALI. Lakini wanampongeza ADO kupewa UBUNGE. Pia, wameita wanahabari kulalamika kwanini...
2 Reactions
5 Replies
223 Views
Back
Top Bottom