Leo nilipitia mitaa ya tiktok Avenue. Ebwana weeh! Hawa Gen z hawa!. Hiki ni kizazi siyo cha kuvamia tu hivi hivi, discussions zao za kistaharabu, hawatukani, wanajenga hoja. Cha kufurahisha zaidi...
Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile...
Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
Huu ni utabiri wangu na hii itatangzwa kwa kushitukiza siku ya kesho usiku kupitia vyombo vya habari.
Hint: Tarehe 01/12/2025, ni siku ya ukimwi duniani. Je, kuna lolote linaendelea serikalini...
Kwani ikitokea muwakilishi amekufa leo nini kitatokea?
Tarehe ya uchaguzi si itatangazwa au ?
Situanzieni hapo au?
kula vyuma wote ,kwani wapo wangapi? 👺
Sihawataki kistaarabu wacha...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa habari,
Tumewaiteni hapa mchana huu kwa dharura, kutokana na kujitokeza kwa jambo moja muhimu sana katika mustakabali wa chama chetu na taifa...
Hehee! Watia ndimu kwenye ulojo wee. Wasema bidhaa ya magendo yafichwa hehee. Nye nye Nye. Sasa mtamficha mpaka lini mwee! Awa kama mjusi atoka kuota jua. Walahi haramu ni mateso. Miye shasamehe...
Wananchi msihudhurie mikutano inayoandaliwa na waziri, mbunge,. DC, RC ama kiongozi yeyote wa serikali hii haramu.
Mnapohudhuria mnapeleka ujumbe kwamba:
1. Mnaitambua serikali hii haramu.
2...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu mwingi wa Rehma kwa kutupatia nafasi nyingine ya pumzi kiasi cha kuweza kutoa maoni haya.
Pili nitoe pole, kwa watanzania wenzangu wote ambao kwa namna zote...
Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi
Wamepewa bunduki mpyaaaaaa
Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi...
Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud...
Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU.
Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is...
Ninashangazwa na matamko ya baadhi ya viongozi wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhangaika kudhibiti Maandamano, Je, Hiyo ndiyo kazi yao kuamua kama maandamano ni sahihi au si sahihi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Abbas Tarimba amesema hawezi kukaa kimya atakapoona kuna watu wanamkosea heshima kiongozi wa nchi.
Soma: Tarimba: Wananchi ndio wenye mamlaka...
Ila tumekubaliana wazee walale ndani wasizungumzie hili suala la maandamano.
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), mkoani Dar es salaam, Abbas Mtemvu amesema kwa pamoja wazee wa...
atoa ushauri huu kwa wasanii wa muziki wa Bongo fleva namna ambavyo wanaweza kurudi kwenye game ya muziki na kuwashawishi mashabiki ili waendelee kusupport kazi zao.
Pia Soma: Wasanii wa Tanzania...