Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Jaji Warioba amesema viongozi wa dini wanaweza kusaidia katika kufanya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa kisiasa nchini, ambapo watakuwa wanazungumza na kushauri nini kifanyike. Akiongeza...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Wanabodi Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu sasa naona wameamua kuwatumia na wasanii ili kuwananga viongozi wa dini, juzi tulimsikia Sheikh Mwaipopo na sasa ni wasanii. Vita dhidi ya haki ni nzito === Msanii wa filamu Tanzania Jimmy...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Mparuka Hashim Mtopela akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi. Kupata matukio...
2 Reactions
7 Replies
928 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Manzese, Boniface Shauritanga, amesema vijana wanahitaji kuungwa mkono ili kuhakikisha kila tukio la chama linafanikiwa. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia...
55 Reactions
446 Replies
25K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa serikali kuangalia upya...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Demokrasia hasa hii ya vyama vingi sio utamaduni mkongwe katika uongozi wa nchi nyingi duniani. Kihistoria mfumo mkongwe wa uongozi ni mfumo wa kifalme. Katika mfumo huu wakuu wa nchi hawapati...
3 Reactions
5 Replies
413 Views
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
8 Reactions
6 Replies
727 Views
Waziri Mkuu na Jaji Mstaafu nchini Tanzania Joseph Sinde Warioba ameeleza kuwa mwaka 2019 na 2020 ndiyo miaka pekee ambayo ameshuhudia wagombea wengi zaidi wa Vyama vya siasa wakienguliwa kwenye...
1 Reactions
2 Replies
495 Views
Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo...
2 Reactions
24 Replies
921 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe. Chaula anadaiwa kutekwa na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Picha kwa hisani ya: Mwananchi: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/matukio-kumi-ya-uasi-wa-mwalimu-nyerere-3805830 Tutake tusitake, sasa ni wazi kwamba, kupitia ajenda ya "No Reform No...
7 Reactions
9 Replies
999 Views
Habari! Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wengine kuanzisha michango kusaidia familia ya Mdude katika kipindi hiki ambacho hatima ya Mdude bado ni...
0 Reactions
4 Replies
486 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM. My Take:Kumeanza kuchangamka
5 Reactions
93 Replies
4K Views
Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari kubwa ni kwamba Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba George Ruhoro akiwa Bungeni Dodoma amewasemea wananchi Zaid ya 1,200 walioguswa na mradi wa Tembo Nickel Ruhoro ameishukuru Serikali...
1 Reactions
2 Replies
373 Views
Yo, let me speak this loud, Hii nchi imegeuka kaburi la vijana!! We out here dyin’ young, hustlin’ hard, while mabeep wenye zero education wako busy wakigawana madaraka Dodoma! Mimi nina Masters...
5 Reactions
12 Replies
848 Views
Back
Top Bottom