kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.
Na utata zaidi...
Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe.
Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele...
Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi?
Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa?
Kwa hiyo...
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa...
Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi,
List ya urembo wa mama Tanzania,
1. SURA: Diamond, Gold, ...
Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu :FeelsWeirdMan:
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha...
Mtandao wa X (Twitter) umefungiwa na serikali ya Tanzania, hauwezi kutumia X(twitter) ukiwa Tanzania bila kutumia VPN.
Ajabu, Rais wetu, msemaji mkuu wa Serikali yetu na Ikulu yetu ya Tanzania...
Wakuu,
Nimeshindwa kushangaa kwa barua waliyotoa polisi! Eti Gen Z wanahamishana kutukia silaha, kutarget hospitali, kuiba vitu kwa wenye biashara zao, nk, na lile la sheikh kuua waandamanaji...
Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know...
Wakuu nikeshangazwa na Samia Kutumia jukwaa la Leo kuubagaza ukristo hadharani,
Hotuba yake ya Leo mwanzo mwisho kaubagaza ukristo,je ukristo ni tishio kwa Mamlaka ya Samia?
Je kwanini wakati...
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata...
Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao...
Kutoka kwenye ukurasa wa X wa Twaha Mwaipaya ametoa taarifa inayomuhusu Muhadhiri wa SUA kukamatwa na polisi
Leo jumanne tarehe 2/12/2025 Police Mkoa wa Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo...
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya...
Tumeshajua wale mashehe waliopanga kukata watu vichwa waliruhusiwa nani
Lakini kwani dini yake inaruhusu wizi wa kura
Kwani DINI yake inaruhusu utekaji
Kwani DINI yake ndo inaruhusu kuua
Kwani...
Naona machawa wa serikali dhalimu wakijipanga ili waje na porojo zao humu hiyo tarehe 6 mwezi huu kwa lengo kututuoa kwenye reli kuelekea 9D.
Cc chiembe choice variable Tlaatlaah johnthebaptist...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa...