Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu Katibu wa CHADEMA...
2 Reactions
4 Replies
596 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk. === Mtandao wa...
2 Reactions
16 Replies
856 Views
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la...
0 Reactions
4 Replies
672 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Ally Hapi, ameutaka Mtandao wa vijana wa Kesho Yetu, Uzalendo Wetu na Utaifa (TK Movement), kutokatishwa tamaa na baadhi ya watu wasiopenda...
0 Reactions
5 Replies
397 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kuwa baada ya uchaguzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitageuka kuwa...
-4 Reactions
16 Replies
1K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Wachimbaji wa madini nchini wamejitokeza kwa nguvu kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya madini, huku wakiahidi kumpigia kura kwa kishindo katika uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
613 Views
Mwanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Hussein Mayeye Mei 03, 2025 amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho. Kiza Mayeye ambaye...
0 Reactions
11 Replies
677 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima ametoa wito kwa wananchi kujitokeza na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura awamu ya Pili...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Kamati ya Siasa ya halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa kamati za siasa wilaya zote mkoani humo kuwachukulia hatua wanachama na viongozi wote wa chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
309 Views
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima. "Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Back
Top Bottom