Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa mwandishi wa chombo kikubwa cha habari kama CNN hawezi kuandaa makala kwa kukusanya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Kombo (Mb.) amefanya kikao kazi na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian pamoja na Wizara ya Ujenzi na Wizara ya...
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri...
Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au...
Tanzania inaendelea kushikiliwa na mtego wa structural socioeconomic fragilities, ambapo uthabiti wa sera unadhoofishwa na kile wasomi hukiita institutional defensiveness—hali ya mifumo ya uongozi...
Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu...
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana...
Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten...
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa...
Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni...
Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa.
Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama...
Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini...
Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10...
#BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9
The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on...
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya...
Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu...