Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumekubaliana maandamano ni ya amani, sasa kuna UVCCM wamepanga kuanzisha vurugu ili polisi wapate kisingizio cha kuua waandamanaji. Hao tunawamudu nawashauri waage kabisa familia zao kabla ya...
7 Reactions
11 Replies
491 Views
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi...
0 Reactions
21 Replies
505 Views
Wakuu, Naambiwa huko Kimara mambo yameshaanza kuchemka. Wananchi wameanza kujitokeza barabarani
24 Reactions
60 Replies
3K Views
Diwani wa Kata ya Mwendakulima na Naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Shaban Mikongoti, ameomba radhi kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kitendo cha...
0 Reactions
3 Replies
305 Views
Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha. Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura, kuhakikisha kuwa ukamataji wa watuhumiwa unafanyika kwa kufuata misingi ya...
18 Reactions
53 Replies
2K Views
https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti. CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z. Hili lilipaswa kuonwa mapema sana. Ufedhuri wa...
9 Reactions
16 Replies
485 Views
Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania. Baada ya hawa viongozi kufariki.
1 Reactions
7 Replies
450 Views
Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano...
1 Reactions
29 Replies
819 Views
Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama...
8 Reactions
9 Replies
403 Views
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli...
1 Reactions
5 Replies
321 Views
Hii sio juu yako. Utaharibu Kila kitu. Hehehee! Wenzako wakutafuta uvumba. Bakia line yako. Najulishwa hapa zoezi litashindika kwa muda huo. Mayi pandisha bendera juu ya paa. Siye twaiona...
5 Reactions
13 Replies
625 Views
Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid...
-2 Reactions
29 Replies
698 Views
Kwahiyo tumeanza kupangiana cha kufanya kwenye magroup au sio? ============= Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka viongozi wa makundi Whatsapp kuchukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
  • Featured
Marekani inathamini ushirikiano wake wa muda mrefu na watu wa Tanzania, ambao umeleta ustawi kwa wananchi wetu na usalama katika kanda hii. Hata hivyo, hatua za hivi karibuni za Serikali ya...
37 Reactions
138 Replies
7K Views
Tunataka haki ya kuabudu, Tunataka haki ya kuajiliwa PASPO UPENDELEO Tunataka katiba mpya Tunataka Rais Samia amalize Muda wake wa miaka 9. Tunataka msemaji wa serikali hasitole tbc1 awe nguri...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Kwa mfano, nasema kwa mfano! Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuzuia watumishi wa umma, waajiriwa wa serikali na wanachuo kujadili mstakabali wa nchi yao kwenye nyanja ya kisiasa, kwa kisingizio cha kutochanganya masomo na siasa, kazi na siasa; huo ni...
4 Reactions
9 Replies
259 Views
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. . Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty. Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…