Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Habari wa JF, Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala. Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimekuja kwenu kujua endapo mimi kama mzazi ninaweza kumwanzishia mtoto wangu Trust fund atakayoweza kupata manufaa yake akishakuwa mtu mzima? Naona kwenye filamu huko...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!! Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wosia ni tamko au maandishi ya mtu akiwa hai, yanayoeleza namna mali zake zitakavyogawanywa kwa warithi wake baada ya kifo. Ni nyaraka muhimu ya kisheria ambayo husaidia kuzuia migogoro ya familia...
1 Reactions
1 Replies
659 Views
Naombeni wabobezi wa sheria wanisaidie kwenye hili. Hili limekaaje kwa watuhumiwa 27 nchini Tanzania kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa bila ya kuwaona mashahidi wa upande wa mashtaka mahakamani...
1 Reactions
6 Replies
413 Views
Habari wanaJF, Naomba kuelewa hapo kwanini kesi ya Lissu inachukua wiki mbili mpaka kusikilizwa tena. Pili naomba kujua yule anayekaa chini ya hakimu ni nani Na kazi yake ni ipi Naomba anay jua...
0 Reactions
9 Replies
571 Views
Hiyo ni kibiblia kabisa Mahakama hutafsiri Sheria mbalimbali pale inapotakiwa Kwahiyo Jaji kazi yake ni kutafsiri Sheria Ahsanteni sana 🙏
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate. Naombeni kufahamishwa nimekwama
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu. Vigezo...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Mengi amenivunjia heshima - Manji • Hakimu apokea vielelezo visivyo halisi mahakamani na Happiness Katabazi...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Mwenye hits zozote kuhusu written ya interview kuhusu kada tajwa hapo juu tunaomba uje hapa ikiwezekana kama tutakuwa wengi tuanzshe ata group whatsapp nipo tayari, Asanteni..!!
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Niulize wanasheria ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimejikuta na kiu ya kujifunza kutoka kwa watu wa kada ya Sheria mliomo hapa jf Kama hamtojali kutumia muda wenu kutuelimisha. Nitafurahi Kama mtanisaidia kuelewa juu ya kauli zinazotolewa nje ya...
1 Reactions
4 Replies
490 Views
Naomba msaada wakisheria. Nilifukuzwa kazi kwakosa la nidhamu bila kusikilizwa, zikaandikwa na mwajiri minits za kikao za uongo kwamba tulikaa kikao. Teenda cma mwajiri hamleti mwenyekiti wa...
1 Reactions
4 Replies
785 Views
Anonymous
Kuna uhaba wa mahakimu ktk mahakama hii kunakopelekea mrundikano wa mashauri na ulipuaji wa mashauri. Jaji Mkuu ingilia ktk hili kwa haraka kwani haki inayochelewa ndiyo inayopotea
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa...
2 Reactions
89 Replies
4K Views
Hello lawyers kwa ujumla na mliopita law school ya tz. mimi ni LLB hold najiaanda kuingia law school soon. Naomba msaada hivi ni vitu gani natakiwa kuzingatia ili kutoboa law school maan...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Kwanini inaitwa Law Reform? Mbona chapters zingine za sheria zetu haziitwi hivyo? (hazianzi na Law Reform)
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Back
Top Bottom