Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu
Samahani naomba wenye idea na huu utaratibu wa PSSSF wanisaidie kunielewesha kama kweli hichi kitu kipo
Mimi niliwahi kuajiriwa Serikalini baada ya miaka miwili na nusu ya kudumu...
Asalam aleykum,
nilifukuzwa kazi na utumishi na mamlaka yangu ya nidhamu. TSD kwa sasa TSC. Mimi ni mwalimu, nilikata rufaa Tume ya Utumishi wa Umma. Nao walikataa rufaa yangu. Nikakata rufaa kwa...
EWE MJASIRIAMALI, HATUA ZA KUUNDA KAMPUNI HIZI HAPA, MILIKI KAMPUNI SASA.
Na Mwanasheria Wetu.
STEP 1; chagua jina.
Kampuni lazima iwe na jina linalotambulika na linalojitofautisha na majina...
Introduction
In the architecture of a progressive tax administration, a fair and efficient tax dispute resolution system stands as both a pillar of justice and a catalyst for fiscal growth. It not...
Usiku wa kuamkia jumapili nilienda kwenye sherehe ya jamaa angu alikuwa anaoa nyumbani nilimuacha mdogo wangu, Ilivyofika usiku nikamuagiza dogo aje kama anaona yupo bored.
Asubuhi tunarudi...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 na ni wa mwisho kuzaliwa katika familia yenye watoto sita. Wazazi wetu wameshafariki hivyo tumeachiwa baadhi ya mali ambavyo ni nyumba na mashamba tumegawana...
Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda.
Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata...
Hellos ndugu zangu JamiiAfrica naomba kujua hivi ni Sheria ipi itayomfanya mwenyekiti wa CHADEMA taifa ndugu Tundu Antipas Lissu asikutwe na hatia ya uhaini ikiwa kweli tumeshuhudia matamshi yake...
Introduction
In recent years, trust between taxpayers and tax authorities has emerged as a critical factor in strengthening voluntary compliance and building a sustainable and equitable tax...
Hahitaji kujua nini natakiwa kuandaa kati ya Deed Poll au Affidavity?
Mimi jina langu limekosewa herufi moja na haibadilishi maana ya jina.
Badala ya Mohamed, likakosewa kwa kuongezewa herufi...
Wasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Nitashkuru kwa majibu yenu
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba lakini mali hizo zimeendelea kubaki katika majina ya waliowauzia. Wapo ambao imepita hata miaka kumi tangu wanunue maeneo lakini bado hawajabadili...
Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa linaloweza kuchukuliwa hatua chini ya kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Ndoa (Sura ya 29 R.E 2019). Ikiwa mlalamikaji atathibitisha kuwa aliyekiuka ahadi...
UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA
Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani...
Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania.
Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate...
Miaka kadhaa iliyopita nilisafiri kibiashara nchini msumbiji. Katika pilika pilika za biashara nilibahatika kukutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana tuliazisha mahusiano ya kimapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.