Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Disclaimer: Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama...
1 Reactions
3 Replies
788 Views
Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Dear all, My reading and interpretation of Section 40 of the Employment and Labour Relations Act. Cap. 366 R.E. 2019 tells me that it was the intention of the Legislature to make it mandatory for...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Je utadhibitishaje CMA au labour court kuwa ulikuwa unafanya kazi overtime Ni evidence gani ya kuprove overtime
1 Reactions
7 Replies
941 Views
Wakuu heshima kwenu. Habari za jioni, poleni na majukumu (kwa wale wenye majukukumu). Naomba kufahamishwa KISHERIA kama kichwa cha uzi kimavyojieleza. Mi hivi, baada ya mgogoro wa ghafla sana...
21 Reactions
225 Replies
9K Views
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi. Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanasheria mliomo humu je tunaifahamu hii Sheria ya kuwalinda mashahidi? Tupeni ufafanuzi kwa manufaa ya umma
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good. Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu?? Wanasheria...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi. Inaletwa kwako na Nyagawa, J...
7 Reactions
5 Replies
3K Views
MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK……………………………. MANISPAA YA Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE NYUMBA...
2 Reactions
2 Replies
24K Views
-Habari zilizotufikia punde ni kwamba askari wanane (8) wamekamatwa mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Muuza magazeti Ali Zona wakati wa maandamano ya Chadema yaliyofanyika mwezi uliopita...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina...
0 Reactions
3 Replies
549 Views
NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu...
0 Reactions
7 Replies
612 Views
1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom