send jr
Member
- Dec 16, 2018
- 15
- 17
Habari wa JF,
Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.
Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye account licha ya kuwa mwez huu tayari hela wameshanikata pale napofanya nao mawasiliano wananipa kalenda mfano yaan wiki hii lazima upate hela wiki inaisha kimya halafu ni wakali balaa kama pilipili naomba msaada wa kisheria nianze vp kujinasua na hawa bayport.