Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SHERIA NA VYANZO VYAKE TANZANIA. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Friday-06/05/2022 Kalema Tanganyika Katavi Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya watu waishio katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii ni kesi maarufu sana kwenye sheria ya madhara (Law of Tort) , ambayo imeanzisha kanuni (Rule au Principle) moja muhimu sana, inayojulikana kama STRICT LIABILITY. STRICT LIABILITY, ina maana...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Hello, naitwa Zakaria (lawyer by profession).🎓 Leo napenda tujifunze kuhusu MAMLAKA YA MAHAKAMA ya Mwanzo (Primary Court). Kwa ufupi, Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo...
3 Reactions
0 Replies
6K Views
Ni kesi ya “JUDITH PATRICK KYAMBA versus (dhidi ya) TUNSUME MWIMBE AND 3 OTHERS, PROBATE AND ADMINISTRATION CAUSE (Shauri la Mirathi) NO. 50 OF 2016.” Kutokana na upekee na umuhimu wa hii mada...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanasheria na wenye elimu juu ya hili, sheria ipi inamzuia kaka kumuoa dada. Msaada
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani, Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo 1.Idadi ya kesi alizoshinda 2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua...
5 Reactions
93 Replies
20K Views
Wanasheria naomba Msaada wenu. Mimi ni Mmiliki wa Kiwanja chenye Hati Milki ya Miaka 66 Kuna Mtu kavamia hicho Kiwanja kwa Madai ya kutokulipwa Fidia na Taasisi iliyotwaa Maeneo na Kupima Viwanja...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama shauri la kesi A limetolewa katika mahama ya mwanzo iliyoko wilaya A, Je kama kuna shida ya utekelezaji wa kesi imetokea na wahusika wamehama hio wilaya waliyohukumiwa. Je, kuna uwezekano wa...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Hello wana Jf, Kuna jambo lina tatiza kidogo.. naombeni ushauri ili ni msaidie huyu mama ambaye ni Jirani yetu (Family friend wa muda mrefu) Ila anachangamoto fulani wadau wa Sheria mnaweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Someni mpate kujifunza jambo. Sehemu ya 1 Kesi ya rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili imeanza kusikilizwa leo...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
habarin za jion Wana Jf Naomba kuulza hiv Makamishina wa Tume ya utumish wa umma ua wanateuliwa na rais baada ya muda gan? na tufaa ukaa Tume kwa muda gan ikisubir kuamuliwa Sent from my Infinix...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya; 1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT? 2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na...
3 Reactions
59 Replies
12K Views
Katika mizunguko ya dunia, Rafiki yangu alileta mwanamke kwake (mpenzi) si unajua mambo ya Vijana tena. Sasa kwa maelezo yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye wamefahamiana kama miezi minne hivi na...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Natafuta Mwanasheria aliyepo wilaya ya chunya kwa ajili ya kusimamia Kesi Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom