Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mwafula Dume, 55 ni mfanyabiasha wa samaki waliokaushwa kutoka ziwa la Nyumba ya Mungu lililopo mkoani Kilimanjaro, na kuwasambaza mikoani.
Mbali na kuuza samaki, Dume mwenye wake watatu pia...
Habari zenu wakuu,
Naomba kujulishwa natakiwa nifanyeje ili niweze kubadili majina ya vyeti vya kitaaluma pamoja na kitambulisho cha Nida ambavyo vinasoma tofauti.
Mfano mimi naitwa Neema...
KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto.
Kuna wengine...
Mijadala mingi muda hautoshi. Nimeona nishiriki kidogo mjadala wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndg Makonda. Nimeona watu wengi wanajaribu kulijadili jambo hili kwa upambe na...
Habari za kazi,
Naomba kujua hatua gani ya kufuata baada ya kupokea notice of appeal kutoka kwa mtu niliemshinda katika kesi ya ardhi.
Naomba msaada wenu katika sheria.
Samahani jamani nahitaji msaada kidogo juu ya hili.
Tareh 15.08.2022 niliingia katika mkataba wa nyumba ya kupanga ambapo nililipa kodi ya miezi sita na fedha za udalali baada ya hapo ikapita kama...
Habari Wakuu,
Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na...
Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia...
Habari Wana jf.
Naomba kujua sheria inazungumziaje katika hili,
Yani umezaa na mwanamke ila huishi nae na umelea mimba na mtoto kazaliwa,ukalea mtoto Kwa kila kitu Akiwa na mama yake
Akafikisha...
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi.
Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba...
Hbr Wana JF
Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja.
Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa...
Habarini za jioni
Naomba kuuliza kama mtu umenunua nyumba na mkataba wa mauziano ukapotea na waliouziana mmoja amefariki. Je aliye baki(muuzaji)anaweza akaandika affidavit kuthibitisha kuwa...
Wakuu ipo hivi,
kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu.
Mzee wangu alifariki...
Naombeni msaada wa mawazo maana nahisi nitakufa kwa mawazo ila ninajikaza. Mimi ni mama wa miaka 30 Nina mtoto mmoja, nina ndoa ya kimila. Nampenda sana mme wangu lakini tumekuwa hatuna maelewano...
Tukio hilo lilitokea katika mtaa huu.......
Ingawa tukio hili lilitokea takribani miongo mitatu iliyopita lakini ni tukio ambalo liliacha simulizi katika jiji la Dar Es Salaam na vitongoji vyake...
Habari za majukumu wana JF bila kuzunguka zunguka naomba kufahamishwa endapo kuna uwezekano wa mtumishi wa serikali kubadili jina moja katika majina yake matatu na yakaweza kubadilika hadi katika...
Salaam wana JF,
Naombeni mnifafanulie nijue kisheria limekaaje hii jambo.
AC ya ofisini ilikuwa imeharibika, jamaayangu akanipa namba za fundi mmoja ambae alidai ni mzuri na alishawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.