NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

edwin4

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
273
250
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na wanadai nisipo jaza hawatanitambua kama mwanachama. Sasa kama nisipo jaza hiyo form sitambuliki, kwann na katwa mshara wangu kuwachangia.
3. Nifanye nini ili mshahara wangu usikatwe kuwachangia hawa CWT?
Naomba kuwasilisha.
 
mkosa yote

Senior Member
Nov 9, 2018
169
500
Pole mkuu ila nahisi walimu mnaonewa sana.Kiutaratibu sio lazima uwe mwanachama wa vyama vya wafanyakazi na ili uwe mwanachama ni lazima ujaze fomu.
Nashindwa kuelewa kwanini walimu imekuwa lazima hata kama hujajaza fomu.
Wafanyakazi wengi hawajajiunga na hawakatwi hasa wa kizazi hiki cha Digitali.
 
edwin4

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
273
250
Na hawawezi kugoma kwa sababu kuna walimu wengi mtaani serikali imewaweka reserve...mkigoma tu...mnaondolewa wote mliogoma wanaingia wengine...

Ndio akili ya Magu...
Mbona ulicho jibu hakiendani na nlicho uliza. Kwa mfano unafukuzwaje kazi kwa kuwagomea CWT?
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
25,525
2,000
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na wanadai nisipo jaza hawatanitambua kama mwanachama. Sasa kama nisipo jaza hiyo form sitambuliki, kwann na katwa mshara wangu kuwachangia.
3. Nifanye nini ili mshahara wangu usikatwe kuwachangia hawa CWT?
Naomba kuwasilisha.
Mwalimu, naomba nikupongea kwa kujitambua.
Lakini bahati mbaya, sina ninacho weza nikakushauri ili kuondokana na tatizo hili linalo kusibu
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,545
2,000
Pole mkuu ila nahisi walimu mnaonewa sana.Kiutaratibu sio lazima uwe mwanachama wa vyama vya wafanyakazi na ili uwe mwanachama ni lazima ujaze fomu.
Nashindwa kuelewa kwanini walimu imekuwa lazima hata kama hujajaza fomu.
Wafanyakazi wengi hawajajiunga na hawakatwi hasa wa kizazi hiki cha Digitali.
Sheria inaruhusu wakukate upende usitake kwa kuwa wao wana member zaidi ya 50% hivyo wote waliosalia lazima wakatwe.
Ni lazima kila mfanyakazi awe member wa chama pia kama huridhiki unganeni mfikie hata 25 muunde chama chenu sheria inaruhusu tu hakuna shida.
Usipende kupoteza muda wako kwa mambo yasiyo na msingi angalia mipango yako ya maisha.
Waziri mkuu majaliwa ni member wa cwt na ndo imemfikisha pale alipo so wapo wengi na ukitaka uiue huwezi.
Juzi kwenye sherehe za mei mosi chakamwata wapinzani wa cwt walipigwa marufuku kuonekana kwenye maandamano na ikawa hivyo sasa imagine wewe unayeigomea cwt.
Tulia ujitazame upya.
 
MASEETO

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
261
225
Unatakiwa kuandika barua(notice) ya siku 30 kwa mwajii wako kumjulisha kuwa asitishe kukukata michango ya trade unioni kuanzia tarehe fulani ambayo utaitaja, nakala ta barua hiyo utaipeleka kwa cwt, hapo itakuwa ndy mwisho wa kukatwa
 
MASEETO

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
261
225
Pia lazima ukumbuke kuwa baada ya hapo utatakiwa kutafuta chama kingine unachota kujiunga na kisha kumtaarifu mwajili kuwa kuanzia tarehe fulani akate michango ya trade unioni na aipeleke kwenye trade union ambayo umejiunga. NB: kushindwa kutaja trade union mpya uliyojiunga mwajilo analazima kukukata na kupeleka michango hiyo kwenye chama ambacho kimeingia mkataba na mwajili wako kwa ajili ya bagaining unit ambacho hicho ni kike chenye menbers wengi kuzidi kingine/ vingine, the rationale ni kuwa wewe km mwalimu kukiwa na changamoto za walimu chama kitaingia kwenye majadikiano na serikali pasipo kubagua kuwa huyu mwalimu ni member au la.
 
soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
586
250
Pole mkuu ila nahisi walimu mnaonewa sana.Kiutaratibu sio lazima uwe mwanachama wa vyama vya wafanyakazi na ili uwe mwanachama ni lazima ujaze fomu.
Nashindwa kuelewa kwanini walimu imekuwa lazima hata kama hujajaza fomu.
Wafanyakazi wengi hawajajiunga na hawakatwi hasa wa kizazi hiki cha Digitali.
Sasa mkuu hujui umuhimu wa vyama vya wafanyakazi??? Why useme walimu wanaonewa??? What I know ni kwamba CWT,TUGHE,TALGWU wanachama wao pindi tu ukiajiliwa unakatwa kwenye hivyo kimoja wapo Na baadaye huwa wwnawaletea form ambayo mwanzo ilikuw form no 6 but inaitwa form no 15

So usiwambie wanaonewa cha msingi kutokana Na sheria iliyopo kwamba kila mfanyakazi anayohaki ya Kujiunga chama chochot cha wafanyakaz akipendacho

Solution afanye hivi kama hatak kukatwa Na CWT
AANDKE barua mwezi mmoja kabla kwa katibu wa CWT sehem aliyopo kumjulisha kwamba najitoa kuwa mwanachama wa CWT Na naomba kuanzia mwez ujao nisikatwe tena

Copy chini apeleke sehem yake ya kaz kama wana tawi hao CWT akiambatanisha Na namba yake ya uanachama wa CWT
 
ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,006

Anajitoa vp wkt yeye si mwanachama? Hajawahi jaza fomu ya uanachama CWT kwahyo kumkata si sawa. Aandike barua ya kipinga kukatwa kwa mkurugenzi copy kwa katibu mkuu CWT. Chama chenyewe cha wanyang'anyi tuu wanao neemeka ni viongozi period.
 
Sikiliza mkubwa hao utaratibu wao ni unakuwa automatic member wa CWT ilimrad tu kama ni mwalimu Na umekuwa employed Na serikali no way to run mkuu,,, nisikikilize kama hajajaza form wenda tu mistake imefanyika but hao badaye wanaletewa form wajaze baada tu kuingizwa kwenye makato hayo ya kichama,,,, cha msng awasiliane kwanza Na katibu wa CWT wa sehem aliyopo watampa mwongozo

Usiangalie sana sheria mkubwa
 
Sheria ndo inaendesha vyama vya wafanyakazi. Hakuna automatic membership mkuu. Kama anakatwa bila kujaz fomu ni makosa maana wanafanya kwa mazoea bila kufuata sheria. Sheria iko wazi kabisa.
 
soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
586
250
Sheria ndo inaendesha vyama vya wafanyakazi. Hakuna automatic membership mkuu. Kama anakatwa bila kujaz fomu ni makosa maana wanafanya kwa mazoea bila kufuata sheria. Sheria iko wazi kabisa.
Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyo
Mm naona labda Kwa kumsadia afanye hivyo ulivyo mwelekez au aende Kwa katibu wa mkoa wa sehem aliyopo wa CWT I hope atasaidiwa
 
ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,006
2,000
Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyo
Mm naona labda Kwa kumsadia afanye hivyo ulivyo mwelekez au aende Kwa katibu wa mkoa wa sehem aliyopo wa CWT I hope atasaidiwa
Ni kweli mkuu wanafanya hivyo kwa kurahisisha na sasa kumbuka CWT wana mpinzani kwahyo wanagombania wanachama. Wanafanta njama na maafisa rasirimali watu kuwaingiza walimu wapya moja kwa moja kwenye system bila kujaza fomu. Hii ni mbaya hawawatendei haki walimu. Na wenyewe kwsbb hawajui sheria hawaulizi.
 
soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
586
250
Ni kweli mkuu wanafanya hivyo kwa kurahisisha na sasa kumbuka CWT wana mpinzani kwahyo wanagombania wanachama. Wanafanta njama na maafisa rasirimali watu kuwaingiza walimu wapya moja kwa moja kwenye system bila kujaza fomu. Hii ni mbaya hawawatendei haki walimu. Na wenyewe kwsbb hawajui sheria hawaulizi.
Ndo hvyo mkubwa Na kingine c unajua wanaogopa kile kifungu cha 19 cha ELRA NO.6/2004 NA pia kuna vyama vingi sana almost 13 Ambavyo viko under TUCTA
Huu mchezo wanao CWT,TALGWU NA TUGHE hvi vyama vina obtain members wao pindi tu wanapopata ajira serikalin huu ni uonevu
 
ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,006
2,000
Ndo hvyo mkubwa Na kingine c unajua wanaogopa kile kifungu cha 19 cha ELRA NO.6/2004 NA pia kuna vyama vingi sana almost 13 Ambavyo viko under TUCTA
Huu mchezo wanao CWT,TALGWU NA TUGHE hvi vyama vina obtain members wao pindi tu wanapopata ajira serikalin huu ni uonevu
Ila CWT ya sasa ilivyo simshauri mwalimu kuwa mwanachama mkuu. Mimi ni mfanyakazi ila si mwanachama wa chama chochote cha wafanyakazi. Sioni tija.
 
Top Bottom