Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari ya leo wanajf!
Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja...
Nilipokuwa mtoto, nilipata bahati ya kusomeshwa na NGO moja. Kutokana na taratibu zao, wazazi wangu walisaini fomu ya ridhaa (consent form) kuwaruhusu kutumia picha na stori yangu kwenye kampeni...
Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021)...
Habari wote
Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi.
Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna...
Wasalam wanaJF
Bila shaka mu wazima wa afya kama mimi hapa. Leo bwana nimekuja na jambo linalotesa moyo wangu kwa muda mrefu sana.
Familia yetu imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu. Mzee...
Kuna mkanganyiko kisheria katika mapambano dhidi ya ndoa za utotoni na ndoa kwa wanafunzi;
1. Sheria ya Ndoa ya 1971 inaruhusu binti wa miaka 14 na 15 kuolewa kwa ruhusa ya wazazi na mahakama...
Habari wana jukwaa,
Hii iwafikie wanaojua sheria za Tanroads
Naomba kuuliza wajuzi, hivi ikitokea kuna mradi wa ujenzi barabara njia imekuwa diverted na wewe ni mgeni eneo hilo kwa bahati mbaya...
Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa...
Salaam!
Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana.
Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni...
Salaam wana jamvi,
Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu!
Story kwa ufupi iko hivi:
Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya...
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu
Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita...
A message comes in.
“Hi Counsel, can I quickly ask something?”
Then a 5-minute voice note follows.
Then documents.
Then another voice note.
Before you realise it, you have:
- analysed the...
Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu ku-adopt mtoto yatima awe wangu kabisa nimlee, kumsomesha na kumfanyia yote anayostahili kufanyiwa mtoto! Sasa naona nina uwezo na muda wa kuitimiza ndoto...
Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana.
Ni hatua gani zinatakiwa na...
Introduction
In the global race for Foreign Direct Investment (FDI), the United Republic of Tanzania has deliberately positioned itself as an attractive and predictable investment destination...
Wanabisha nini, kwamba Lissu hakusema kama ataasi? Kwamba Lissu hakusema atavunja Katiba na sheria kwa kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi nzima ili nchi ibaki bila ya Rais?
Kile...
Habari
Iko hivi kuna jamaa yangu amekutwa na kosa la jinai katika moja ya mahakama zetu hapa nchini na amehukumiwa kulipa fine tu kwa kosa alilotenda.
Lakini jamaa huyu ni katibu wa tasisi...
Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua...