Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Heri ya Mwaka mpya wana JF,Nilikuwa naangalia CNN Connect of the day kuna huyu Bwana alikuwa akiongea someni kipi kilichompata.Mtu anaweza kuhukumiwa kunyongwa wakati akiwa hana makosa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kabla ya kuanza biashara, ni muhimu kuchagua muundo unaofaa malengo yako. Muundo wa biashara unaathiri usimamizi, uwajibikaji, ulipaji kodi & ukuaji wa biashara. Zifuatazo ni aina kuu za miundo...
2 Reactions
3 Replies
238 Views
Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake: Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession). Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Kwa suala hili, wewe una mtazamo gani? Kijana kufungwa miaka 30 jela kwa kumpa mimba mwanafunzi ambaye, kwa mtazamo wa baadhi ya watu, alijitambua na hakulazimishwa, kisha kijana afungwe miaka 30...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi...
1 Reactions
2 Replies
208 Views
Eid Mubarak to all celebrating. Mimi ni Mtanzania halisi, miaka miwili nyuma nilinunua kiwanja huko kisiwani Zanzibar chenye thamani ya million 2.5. Tulienda kukiangalia kiwanja kisha...
5 Reactions
11 Replies
493 Views
Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
0 Reactions
45 Replies
24K Views
Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata...
2 Reactions
1 Replies
215 Views
Wakuu, mwaka 1994, kuna mzee aliingia makubaliano ya kuuza eneo na halmashauri ya mji X, serikali ilitoa ahadi kuwa iwapo mwenye eneo atakubali kuiachia serikali basi yeye atanunuliwa kiwanja...
6 Reactions
5 Replies
228 Views
Naomba kwa wakili aliyepo Dodoma au atakuwa Dodoma kuanzia jumamosi Hadi jumatatu hii ya tarehe 10 mei 2026 tuwasiliane,. Nataka aniandalie plaint ya shauri langu na kusajili mahakama kuu, main...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Wakuu habari za mchana na poleni kwa majukumu. Nimeajiriwa kama mwalimu katika shule moja inayomilikiwa na kanisa. Mnamo tarehe 07/04/2017 mkuu wa shule alitutaka tufike kazini japo ilikuwa ni...
3 Reactions
52 Replies
13K Views
Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin...
1 Reactions
3 Replies
651 Views
Habari wana Jukwaa Mnamo tarehe 09 April 2017 niliondokewa na mzee wangu ambaya alikua mteja wa Bank moja wapo hapa Tanzania. Wakati wa mauti mzee alikua ameacha deni bichi ya Bank lipatalo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibuni thinkers! Kuepuka na kiwanja chenye migogoro, kuepuka utapeli, kuepuka kuingilia mipaka na mengine mengi , tupeane mbinu wakuu
0 Reactions
3 Replies
162 Views
Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za...
3 Reactions
15 Replies
286 Views
TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Tanzanian law does not automatically confer citizenship on a foreign wife. Rather, it grants her a privileged, near-guaranteed pathway unavailable to a foreign husband. Section 11 of the Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
404 Views
Habari ya leo wanajf! Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja...
2 Reactions
6 Replies
247 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…