Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari waungwana. Jamani naomba kujulishwa ninavyojua mimi kuwa Bima (Insurance) ni makubaliano baina ya mwenye mali anaehitaji bima na mtoa huduma. Kwa kawaida kwa vyombo vya moto bima ya third...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
0 Reactions
4 Replies
1K Views
u
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki kwenye hili jukwaa sheria, niende kwenye Maada moja kwa moja. Nilikuwa nimesafiri kurudi nikakuta eneo langu lenye ukubwa Wa eka 5 eka 3 nimepanda miti aina ya paina...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Good morning wapendwa,,, Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la...
1 Reactions
68 Replies
2K Views
Nataka kufahamu zaidi kuhusu utoaji wa mahari kwenye masuala ya ndoa kama:- 1. Mahari ni nini? 2. Mahari ni muhimu katika ndoa? 3. Bila mahari ndoa hiyo ni batili? 4. Nani anahusika kupokea na...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari ipo hivi, Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu...
16 Reactions
118 Replies
6K Views
Habari kwenu wanabodi, naleta swali hili kwenu, Je, ni kifungu gani cha sheria kinacho regulate utoaji wa maiti kutoka vyumba vya kuhifadhia maiti maarufu kama mochwari (mortuary)? Maana katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilianza shule nikiwa naitwa X nikasoma mpaka darasa la sita, nikafukuzwa shule, ilikua private na sikuweza pata uhamisho. Nikaamia shule nyingine ndani ya wilaya hiyo iyo ya serikali lakini mkuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By ADAM IHUCHA | Special Correspondent | July 28 2012 A fresh row is brewing between Tanzania and Malawi over the ownership of Lake Nyasa, one of the world's largest freshwater bodies. Home to...
2 Reactions
102 Replies
36K Views
Ndugu wana Sheria, Nimeombwa niwasilishe kwenu ombi la Msaada wa kisheria kwa Mayatima hawa ambao wanataka kupata mwanga wa kisheria kama kuna uwezekano wa kupata urithi wa haki za Merehemu baba...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika...
1 Reactions
6 Replies
782 Views
Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Wadau wa jukwaa salamu! Nawasilisha swali langu hivi, kama mfanyakazi ameachishwa kazi lakini hajafikisha vigezo vya kulipwa pensheni je atalipwa tu malipo aliyochangia au atapewa na faida...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MSAADA TUTANI Hello folk! I'm humble, asking for your legal help! I may be ignorant of the right path of legal procedure in handling this case! Mr X come to my shop one day and he asked for some...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Habari wapendwa? Tuna watoto 4, ila mtoto mkubwa wa kwanza sio wangu nilioa mke wangu akiwa tayari ana mtoto, watoto watatu ndio nilizaa naye. Huyu mtoto wa kufikia tangu akiwa mdogo miaka 2...
9 Reactions
152 Replies
20K Views
Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
THE LEGAL BATTLE TO INHERIT THE ESTATE OF THE BUSINESS TYCOON LATE REGINALD MENGI: HISTORIC AND MONUMENTAL JUDGEMENT BY HIS LORDSHIP MLYAMBINA. "The dead commands nothing from his grave except...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…