Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo...
1 Reactions
0 Replies
714 Views
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limewatia mbaroni majambazi tisa wa kutumia silaha akiwemo askari polisi wa kituo cha polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Polisi...
2 Reactions
60 Replies
21K Views
Kutokana na umuhimu na uhitaji wa mikataba katika maisha yetu ya kila siku, nimekusanya mkusanyiko wa sampuli za mikataba zaidi ya 100 zenye lengo la kutoa mwongozo na msingi wa kisheria katika...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Introduction Tanzania's current tax regime, characterized by a multitude of taxes and high rates, poses significant challenges for businesses and individual entrepreneurs. The array of taxes...
1 Reactions
0 Replies
689 Views
Habari wakuu. Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote. Je nichukue hatua gani...
2 Reactions
19 Replies
735 Views
Nimesoma taarifa ya kuachiliwa kwa dhamana mahakamani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simuyu, Yahaya Nawanda kwa tuhuma zinazomkabili za ulawiti. Zaidi soma: Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa...
1 Reactions
10 Replies
857 Views
Introduction The history behind the law of termination of employment in Tanzania is founded on the ILO Convention number 158 of 1982 [1] on Termination of Employment. It was basically adopted by...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa chini ni barua ya notisi iliyotoka kwa mwenye nyumba kwenda kwa mpangaji. Notisi imetolewa ya miezi mitatu ila inasoma baada ya mkataba wao wa awali kukamilika. Kwenye hiyo notisi, mwenye...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
wanafunzi wawili wa kike wanaosoma elimu ya juu chuo kikuu cha udsm na cbe ya dar pamoja na mwanafunzi wa chuo chuo cha ufundi veta..wamefikishwa katika mahakama ya samora kwa kosa la...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Ni vigezo gani mtu anayeajiriwa CMA anahitajika kuwa navyo
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea. Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa...
1 Reactions
89 Replies
20K Views
“AN ADVOCATE'S PERSPECTIVE” Recently, a letter from various embassies highlighted numerous challenges faced by foreign investors with the Tanzania Revenue Authority (TRA). Initially, I suspected...
3 Reactions
0 Replies
808 Views
Introduction In his recent budget presentation, the Minister for Finance, Dr. Mwigulu Nchemba, emphasized the crucial role of withholding tax compliance by taxpayers. This underscores the...
-1 Reactions
0 Replies
497 Views
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwanza nitangulize shukrani. Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
In reviewing the Finance Bill 2024, published on June 18t, 2024, SARC Law Chambers would like to highlight our opinions and recommendations regarding certain proposed and non-proposed provisions...
-1 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari za wakati huu, Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi...
1 Reactions
12 Replies
906 Views
Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika...
0 Reactions
9 Replies
809 Views
Habarini za uzima ndugu zangu Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom