Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Imekua kama desturi watu kukengeuka kutoka kwenye ndoa za kimila na kwenda za kidini yaani mtu anafunga ndoa kwa taratibu za kimila aghalabu kulipishwa mahari na itifaki nyinginezo na kisha...
Nimepata mkanganyiko kidogo na hii sheria hasa kipengele kwamba wafanyakazi wa mikataba hawahusiki na hii sheria yaani wale wenye mikataba say miaka miwili nk ila zaidi inawahusu wale wafanyakazi...
Ndugu zangu sikutaka kuleta huu uzi kama mfanyabiashara mdogo kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya Vodacom Tanzania.
Ninavyoandika huu uzi ni mwezi sasa nilituma pesa kwenda akaunti yangu...
Wakuu,
Ni utaratibu gani wa kuomba kupatiwa ripoti ya uchunguzi wa maiti sababu za kifo chake (Post-mortem examination) kutoka hospital? Mtu kauawa na Dr/Pathologist aliyefanya uchunguzi anasema...
Wakuu hbri za humu. Kuna mtumishi alienda masomoni bila utaratibu wote kukamilika. Cha ajabu mtumishi akawapeleka CMA, kuwashitaki kwa nini hapewi mshahara. Hana barua ya kufukuzwa kazi wala onyo...
Habari ndugu zangu mimi ni mpangaji nimepanga sehemu ambako nafanyia biashara yakuzaa vifaa vya mziki mbalimbali sasa kodi namlipa kila mwezi gafla tarehe mbili aliomba pesa nikawambia nitakulipa...
Habari,
Nilipata Ajali ya kugongana gari langu na lingine la kampuni fulani hapa jijini dar,Gari yangu ina third part ile gar iliyonigonga ina Comprehensive,Kesi ilienda nahakamani imeisha mwezi...
Nilikuwa nafanya kazi kampuni flani ivi,
Nilivyoskia nafas za JKT nikatuma maombi nikaenda kwenye usaili takribani week nzima na nimepata kufaulu ngazi ya wilaya.
J3 naenda kazini HR ananiambia...
unaposomewa mashitaka yoyote ya jinai muheshimiwa atakwambia "huku ukijua kufanya hivyo ni kosa" ni kweli kutokujua sheria haikupi unafuu wa adhabu ila mwendesha mashitaka asiandae mashitaka yake...
Date::4/21/2009
Serikali yatoa onyo kwa wabunge wanaoiba nyaraka za siri
Na Kizitto Noya, Dodoma
MBUNGE ambaye atakayebainika anatumia nyaraka za serikali kwa sababu yoyote ile...
Wakuu salaam.
Mimi ni mhanga wa mikopo toka taasisi za kifedha ambapo niliposhindwa kurejesha mkopo baadhi ya Mali zangu ziliuzwa kwa mnada na dalali wa benki husika. Taratibu zote za mnada...
Wadau, nawawekea hii as an attachment an article on sedition law in modern democracy- experience from Malaysia.
"ukitaka kumficha mtanzania kitu just put it in writing"!
Let us share this to shed light on the above two laws, how the international community looks at it. Follow the link below.
======
A bid to rid Africa of criminal defamation, sedition laws
The...
Wakuu,
Kama nilivyotaja kuna bwana mmoja nilikuwa nafanya nae kazi lakini kutokana na kutokuwa mwaminifu nimevumilia siku nyingi kuusu utendaji wake wa kazi na hisitoshe alikuwa mtu wangu wa...
Imekuwa kana kwamba haupo kabisa! Au kana kwamba uliteuliwa ukiwa huna sifa! Mambo yafuatayo yanadhihirisha ninachokisema.: 1. Polisi baada ya kuwakamata watu kijinga kijinga, na kwa hoja za...
Nina ndugu yangu amekuwa Ni msumbufu sana kwa Jamii.Huyu bwana ameanza muda mrefu kuwa kero toka kwa ndugu zake hadi Jamii mzima inayomzunguka hapa kjjn.
Tatizo lilianza Kama Miaka 14 hv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.