Hukumu ya Mwangosi

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Hukumu ilisema Hakukusudia kuua! Mabomu ya machozi sheria yeke inasema huwa unapiga umbali gani toka kwenye target (for that matter waandamanaji) ? Yeye alikuwa umbali gani? Na nini kilimfanya alenge bunduki hiyo wakati anaona Mwangosi kazungukwa na hivyo hana uwezo wa kuleta madhara, hakuwa na silaha, KWA NINI ALIMLENGA?

HALAFU MHESHIMIWA JUDGE ANASEMA ALIUA BILA KUKUSUDIA! ETI KULIKUWA NA DEFECT KWENYE BUNDUKI, KWA NINI ALIMLENGA AT A NOSE- MOUTH DISTANCE WAKATI UTARATIBU UNAKATAZA KULENGA AT SUCH A SHORT DISTANCE. Ni maswali nimekuwa nikijiuliza!!

NOTE: SIKUSUDII KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA, NI JUST TO HAVE AN INQUISITIVE MIND!
 
Kwanini usikate rufaa mahaka ya rufaa
 
Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
Kuna mapungufu katika hukumu ile, unaona kuwa hapa kulikuwa na kumwokoa mtu! Mungu ana kazi sana ya kuhukumu siku ya mwisho! Na asipokuwa macho mbinguni atakaa peke yake maana hakuna atakayeuona ufalme wa Mungu. Kama maaskofu wanapokea sadaka za ajabu ajabu, bila woga ( Rugemalilara saga) Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Najiuliza tu, kwanini mtuhumiwa alikuwa akifichwa USO? Tumeona kesi za maraisi na watawala mbalimbali, sura nilikuwa reviled hakukuwa na matangotango, Je huyu Polisi yuko special kiasi gani kuliko marais hata afichwe USO?
Je NI KWELI KAPELEKWA JELA? JE NANI ANA UHAKIKA? JE KAFUNGWA GEREZA GANI? JE NI NANI ANAMFAHAMU? KWANINI Polisi WALIRUHUSU NA WALIHUSUKA KWENYE KUFICHA SURA YA MTUHUMIWA, NINI LILIKUWA LENGO LAO ( Polisi )]
 
Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
hamna kifungu kinachompa mwanya mwananchi wa kawaida kukata rufaa kesi ya jumuhuri, hata kwa njia ya kutaka ufafanuzi wa kikatiba kama anaona sharia imepindishwa
 
Sina hakika sana na hili labda wataalamu wa sheria watuambie tafadhali!
 
Najiuliza tu, kwanini mtuhumiwa alikuwa akifichwa USO? Tumeona kesi za maraisi na watawala mbalimbali, sura nilikuwa reviled hakukuwa na matangotango, Je huyu Polisi yuko special kiasi gani kuliko marais hata afichwe USO?
Je NI KWELI KAPELEKWA JELA? JE NANI ANA UHAKIKA? JE KAFUNGWA GEREZA GANI? JE NI NANI ANAMFAHAMU? KWANINI Polisi WALIRUHUSU NA WALIHUSUKA KWENYE KUFICHA SURA YA MTUHUMIWA, NINI LILIKUWA LENGO LAO ( Polisi )]
Ulitaka sura yake upeleke wapi? Hukumu ishatoka acha atumikie adhabu yake.
Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
 
Wakuu mwenye kesi yoyote ya hospitali tafadhali anisaidie hata jina tu, hasa hizi za kuvujisha taharifa za wagonjwa "disclosure of patient records".
 
Ukweli ni kwamba hata mimi imenipa mawazo. Hakimu anaposema ameua bila kukusudia sielewi maana alimlenga marehemu for such a distace anamwona na tayari alishaa zungukwa na kisha unalenga na hakuwa ktk mazingira ya kutoroka halafu leo unasema hakukusudia sielewi hapo.
 
ilibidi iwe vile maana hakuna namna nyingine utawala wa sheria nchini tanzania umevamiwa na siasa hapo ndipo utajua HAKUNA UHURU WA MAHAKAMA
 
Back
Top Bottom