Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari
Mimi ni binti ninayesoma katika taasisi ya elimu ya watu wazima. Nimekuwa nikisumbuliwa kuhusu matokeo yangu ambayo yalikosewa kwa makusudi na muhusika wa examination room.
Kisa chenyewe...
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome amesema kuanzia sasa sheria zote zitakazotungwa nchini zitakuwa katika lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi ambao ndio...
Wanabod habar za majukumu.kwanza nitangulize shukran kwa msaada wanaopata watu humu kuhusiana na maswala haya ya kisheria.nakuweza kupata muongozo wa kutatua matatizo yao.
Mimi nina ndugu yangu...
Hello Learned brothers and sisters,
Hivi mtu akitumia picha ya mtu mwingine kwenye bandiko lake la biashara bila ridhaa yake hapo atakuwa ametenda kosa gani?
Karibuni kwa michango yenu.
*```TUJIFUNZE SHERIA```*
*IJUE KATIBA YA TANZANIA*
```Katiba ni msingi mkuu wa uendeshji wa nchi, ukuaji wa demokrasia na utawala wa sheria. Katiba ni sheria kuu au sheria mama katika nchi...
Naomba kujua hii kesi iliyokuwa na mvuto kwa jamii nini kilizingatiwa mpaka kumtia Bageni hatiani katika kesi ya pamoja na kuwaachia Zombe na wengine huru??Wajuzi wa sheria mtujuze.
Kuna kesi nyingi maarufu ambazo pamoja na kuwa na majina unique uwa zinatia hamasa na burudani sana katika kuzisoma Mfano kuna kesi kama Dpp vs Shaw, cabolic smoke ball, Suzan Kakubukubu vs...
Wengi washakamatwa kwa kosa la kumtukana rais, na kila anapo kamatwa mtu kwa kosa la kumtukana rais mtu huyo hutangazwa na huishia kupelekwa mahakamani.
Pamoja na hatua zote hizi za kisheria...
Msaada wa uelewa please
Wana jamvi naomba kufahamu, maana naamini humu kuna wataalam mbali mbali ikiwemo magwiji na wataalam wa sheria....
Swali langu~
Mtanzania mume anapooa mwanamke wa nchi...
kuna sheria inaitwa Inquest Act ambayo inasema Medical Practitioner atafanya "postmoterm". Now the question is who is medical practitioner. according to Medical Practitioners And Dentist Act R.E...
Kwa wajuzi wa sheria, binafsi sina weledi na sheria.
Nilikuwa na kesi ktk baraza la ardhi nyumba na makazi, taxation case kuhusu bill of cost, bahati nzuri ile kesi nimeshinda na imefikia mwisho...
Jamani Mkataba wa ajira unatakiwa kuwa na nakala ngapi original maana kuna mtu kaniuliza muajiri wake kampa nakala moja tu asaini na alipouliza nakala yake akaambiwa labda atoe fotokopi
Je kwa wajuzi wa bima za pikipiki naomba mnijuze iwapo ikatokea mtu kaibiwa pikipiki na alikua amekata compressive insuarance , je kuna uwezekano wa kulipwa madai yake??
Wandugu, I declare interest, mimi ni mdau wa sheria kwa miaka mingi. nimekutana na kifungu cha 130(2)(e) of the Penal Code kinachotoa adhabu ya kosa la kubaka kwa mtu mzima (kuanzia 18 years and...
Wanasheria na serikali nisaidieni kujibu hii hoja.
1. Ni kwa nini kesi zinazohusu mambo ya siasa zinaharakishwa kusikilizwa na kutolewa hukumu ndani ya kipindi kifupi. Mfano wa kesi za uchaguzi...
Wanafunzi wa Darasa la saba takribani 795,761 leo wameanza mitihani yao ya kumaliza darasa la saba inayotarajiwa kumalizika kesho nchini,ambapo walimu wametakiwa kuhakikisha hakuna udanganyifu...
Habari wadau,kuna rafiki yangu alifukuzwa kazi ktk taasisi moja ya serikali kwa hila tu za boss wake na baadae akaenda mahakama ya kazi na kuonekana kuwa ameonewa hivyo alipwe stahili zake lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.