Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ukiwa na nyumba au kiwanja bila hati miliki haiwezi kukusaidia kupata mkopo, naomba wakuu mnisaidie mchanganuo wa gharama za kuipata hati miliki na taratibu zake, ninaanzia wapi na kuishia wapi...
4 Reactions
150 Replies
117K Views
HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM! Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa...
1 Reactions
4 Replies
665 Views
Wanajamvini na shida jaman na employment ordinance
1 Reactions
1 Replies
867 Views
It's lady action again.....drama queen. Haya najua wengi mtatukana weee lakini ndio nishaumbwa hivi sasa nitafanyaje? Ipo hivi baada ya kutengana na mume kwa miezi kama 4 hivi, nimerudi na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu) Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management &...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika...
0 Reactions
2 Replies
459 Views
Baba aliuza shamba miaka kumi iliyopita akapewa pesa nusu, mnunuaji hakupewa maandishi yoyote na yeye hajamalizia pesa mpaka leo na amejenga nyumba pamoja na kupanda minazi je tunaweza kulirejesha?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au...
2 Reactions
9 Replies
31K Views
Tamko la rais (decree) anapolitoa huwa ni sheria. Kinachofanyoka hutungiwa mwongozo wa mipaka ya matumizi yake. Wakati rais wa awamu ya pili aliporuhusu mabinti wa kiislam kuvaa hijab, wako...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kufahamu kama kampuni X inaweza kutuma police kukukamata na kukufungulia kesi ya kuisababishia hasara ikiwa mfanyakazi huyu ameajiliwa na kampuni Y (Yani outsorced from Y na...
2 Reactions
6 Replies
609 Views
JINSI YA KUKAZIA AU KUTEKELEZA HUKUMU MAHAKAMA YA MWANZO: Mwandishi: Zechariah Wakili Msomi Zakariamaseke@gmail.com (0612275246 /0754575246 - WhatsApp) Unaposhinda kesi ya madai, mfano umefungua...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mnisaidie nitafungwa Nlikamatwa hapa kwetu kulitokea taharuki vurugu watu wakafanya vurugu kituo cha polisi kuvunja kwa mawe na kuchoma gari la raia aliekua amepaki maeneo ya kituo, Baada ya kuja...
2 Reactions
14 Replies
836 Views
Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama...
14 Reactions
110 Replies
4K Views
Kila kitu kimekwisha wakuu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nchi hii ina Rundo la Vituko, Kubwa zaidi ni kuzidi kuongezeka Kwa Wanasheria njaa, waganga matumbo, walafi wa kila kitu Kwenye Fani hii Muhimu sana. Mimi nilikwepa sana kusomea Sheria ili...
5 Reactions
326 Replies
28K Views
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili, Kwa mfano...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho...
3 Reactions
3 Replies
459 Views
Ndugu zangu wana JamiiForums, Ninaomba kufahamishwa juu ya kesi za madai kuanzia procedure za kufungua kesi. Ninadaiwa milion 3 ambazo niliazimwa na rafiki yangu wa karibu, wakati tunakopeshana...
1 Reactions
15 Replies
34K Views
Mimi Nina Rafiki yangu amefarikiwa na mama yake muda mrefu sasa na babu na bibi yake pia wamefariki karibuni vip anaweza pata miradhi kwa kupitia mama yake, Babu na bibi hawakuacha maandishi yoyote.
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom