Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari! Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili. Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa...
2 Reactions
1 Replies
549 Views
Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwenye TANZLII sijapata
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita. Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8, nahitaji kumchukua mwanangu nikae naye. Naomba msaada...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Kuna mtu aliniazima pesa kiasi cha laki tano nikaelewana nae nitamlipa laki sita lakini mambo hayakuwa sawa nikamuomba kumlipa kidogo kidogo na tuliandikiana kwa karatasi tu kishikai sisi wenyewe...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari JF, Naomba kujua endapo mtumishi wa umma anaruhusiwa kuanzisha na kusimamia NGO yake.
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Wakili Madeleka popote ulipo tunaomba msaada wako. Tumeenda polisi wameshindwa kutusaidia, tumeenda kwa wapelelezi wameshindwa kutusaidia. Tunaomba utusaidie kuhusu hii kesi inayotusumbua...
2 Reactions
8 Replies
705 Views
JAN24 Nilikujia na post moja ya kuomba ushauri kwenye kesi za mirathi ya vijana fulani mtaani. Kuna vijana fulani walifiwa na wazazi, sasa baba yao mdogo akawa msimamizi. Katika hilo, akagoma...
3 Reactions
7 Replies
814 Views
Poleni na majukumu ya Kila siku. Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza...
12 Reactions
116 Replies
6K Views
Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿 Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya...
1 Reactions
19 Replies
804 Views
I took a mobile app loan for 8 days. On the date of repayment, the company staff started to bombard me with demands for payment. I spoke to three different individuals from the company and...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna. Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana... Natanguliza shukran
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata. Baraza lilifika kuangalia...
1 Reactions
4 Replies
471 Views
Wanajamvi naomba mwenye taarifa kuhusu kesi ya Chenge aniarifu
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Ulisha ona maajabu ya ukatili wakijinsia alafu polisi wana mpooza mke kwa kumpa elfu 50 eti akapike ili yule polisi aje kusuluishia kesi nyumba jioni? Hii imetokea moshi mjini kituo cha mjini...
1 Reactions
3 Replies
443 Views
Je, unatamani kusoma sheria au kuwa Wakili, Hakimu au Jaji? Hongera! Soma vigezo na mlolongo wote hapa chini. Imeletwa kwako nami Zakaria Maseke (Advocate /Wakili ) 0754575246 - WhatsApp...
5 Reactions
1 Replies
31K Views
Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo. Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ...
2 Reactions
5 Replies
512 Views
Back
Top Bottom