Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba...
ULISHA ONA MAAJABU YA UKATILI WAKIJINSIA ALAFU POLISI WANA MPOOZA MKE KWA KUMPA ELFU 50 ETI AKAPIKE ILI YULE POLISI AJE KUSULUISHIA KESI NYUMBA JIONI?
HII IMETOKEA MOSHI MJINI KITUO CHA MJINI...
Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao.
Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973...
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.
Kesi ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha vifo vya watu wawili inayomkabili Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew...
Kutokana na kuahirishwa hairishwa kwa hukumu ya aliyekuwa Waziri katika serikali ya JK Bw. Andrew Chenge ihusuyo ajali ya barabarani na kuendesha gari bila ya bima kwa miaka kadhaa ikiwemo...
Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia...
Salaam wakuu,
Mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa watuhumiwa fulani wamesomewa Mashtaka lakini hawakupaswa kujibu CHOCHOTE kwa kuwa Mahakama waliyopelekwa haina uwezo/mamlaka ya kusikiliza kesi...
Nina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwasasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu huria Tanzania)...
Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili...
Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo...
Kampuni za Oilcom Tanzania Limited na Oryx Energies zinakabiliana kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria na unaoelezwa kufichua upendeleo na mapungufu katika mfumo wa usuluhishi wa Tanzania. Mgogoro...
JE, SERVICE ROAD NI KWA MATUMIZI YAPI HASA?
Ni swali ambalo limekuwa linasumbua sana vichwani mwa madereva wengi sana. Kwani si mara nyingi hasa tunaelezwa service road zilijengwa kwaajili ya...
Hello everyone 👋!!
Mnaendeleaje na hali ndugu zangu poleni kwa majukumu!
Naomba msaada tofauti kati ya MISDEMEANOR and GROSS MISDEMEANOR
(First year student at MZUMBE UNIVERSITY)
Salaam wanajukwaa la sheria.
Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake...
Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo:
1. NDOA
2...
Naomba mtusaidie Elimu kuhusu taratibu za Upokeaji wa Summons. Je, ni Nani anapaswa kubeba summons kutoka mahakamani kumpelekea Mdaiwa? Je, Ni yeyote Yule au kuna mtu maalumu?
Je, kuna muda...
Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi.
Imepita sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.