Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mara kadhb imesikika mtuhumiwa kulalamika kukiri makosa yake kwa sababu ya mateso makali alowakuwa akifanyiwa wakati wa mahojiano na polisi.
kwa wataalamu wa sheria,"JE SHERIA INASEMAJE JUU YA...
Nimekulia nchi ambayo kila mtu wakubwa kwa wadogo wanahamu kuwa ni mwiko mwiko mwiko kuvuka kwenye taa za rangi nyekundu na taa ya kijani ni salama salama salama always. Kila mtu kuanzia watoto...
Kwanza nimushukuru Mungu kwa kuonesha haki na kutenga ukweli na uongo.
Nichukue pia fursa hii kuwashukuru wanajamvi wote hasa waliotoa mawazo, ushauri na kutoa pridiction juu ya kesi yangu...
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu huu utaratibu wa kukamata na kushitaki mtu kwa madai ya kumpa mimba mwanafunzi. Tuachane na wale wanaobaka na kumpa mimba mwanafunzi, ambao tayari wana kosa la...
Wanajavi la siasa naomba kujua kuhusu sheria inasemaje mbunge asipotumikia jimbo lake takribani mwaka.
Maana tunaona Lissu anaumwa na hatumikii jimbo lake kwa muda sasa. Je, ni halali maana naona...
Wakuu salaama!
Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi...
habari ndugu wanasheria na wadau wa JF!
Kuna mtu amekopeshwa pesa huku akiweka nyumba yake kama dhamana endapo atashindwa kulipa deni, aliwasilisha offer ya kiwanja palipo hiyo nyumba maana...
Samahani wakuu mimi ni mgeni katika Jukwaa hili, Naombe Msaada kuhusu sheria ya Uzembe na Uzururaji
ni kweli hii sheria ipo?
Na kama ipo inasemaje kuhusu Mazingira ambayo mtu anaweza kukamatwa...
wadau naombeni msaada nime nununa kiwanja toka halmashauri flan iv apa tz lkn ktk icho kiwanja limepita bomba la maji inch 4 sasa ktk situation kama iyo mwenye kuingia gharama ya kuliamisha ilo...
Amani iwe juu yenu,ni miezi 8 sasa imepita tangu nitembelewe na wageni shambani kwangu wazungu wawili na watanzania wawili wakiwa na bidhaa zao wanazouza na kukopesha,wakaniomba nikusanye wakulima...
Hivi eti kuna sheria yoyote inayokataza nyumba za kulala wageni (guest au hotel) kuwapa chumba wageni wawili wa jinsia moja?
Kwa mfano dada wawili wanataka chumba kimoja cha single? Au wanaume...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Miswaada ninayoomba ni:
1. Mswaada wa bodi ya taaluma ya ualimu 2018.
2. Mswaada wa kutangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu 2018.
3. Mswaada wa mabadiliko...
Heshima kwenu wa kuu,
Naomba ushauri juu ya sheria za kazi.
Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi mkataba wangu uliisha tarehe 30/04/2018, nimefanya kazi mwezi wa tano mzima na mshahara...
========Copy & Paste======
============================
KESI YA MPAKA WA SHAMBA NO (01) 1992
MAHAKAMA CHINI YA MWEMBE .
MSHTAKI : SEBERWA .
MSHTAKIWA: KASHINGO
HAKIMU : KALIGOTA
[emoji767]...
Kwanza nimushukuru Mungu kwa kuonesha haki na kutenga ukweli na uongo.
Nichukue pia fursa hii kuwashukuru wanajamvi wote hasa waliotoa mawazo, ushauri na kutoa pridiction juu ya kesi yangu...
Habari za muda huu wana JF?
Natumaini muwazimaaaaaa_
Niende tu moja moja kwenye kitu nilichokusudia kujua
Issue ipo hivii baada ya kujichanga changa saaana hatimae halmashauri yangu ya kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.