Wataalam wa Sheria msaada tafadhari

Mzalendo-Tz

Member
Apr 19, 2017
81
33
Wanajavi la siasa naomba kujua kuhusu sheria inasemaje mbunge asipotumikia jimbo lake takribani mwaka.

Maana tunaona Lissu anaumwa na hatumikii jimbo lake kwa muda sasa. Je, ni halali maana naona jimbo lipo wazi na watu wanataka kutumikiwa.

majibu plz na kama haikuhusu pita kushotoo
 
Nenda kawatumikie wewe.
Hayo majimbo mengine umeona cha maana kinachofanyika??
Unapenda kutumika sio?!?)
 
Back
Top Bottom