Msaada kisheria

Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,620
5,510
Amani iwe juu yenu,ni miezi 8 sasa imepita tangu nitembelewe na wageni shambani kwangu wazungu wawili na watanzania wawili wakiwa na bidhaa zao wanazouza na kukopesha,wakaniomba nikusanye wakulima wenzangu waje waone hiyo bidhaa,nikawataarifu wakulima wenzangu waje waone bidhaa hizo,wakatuonyesha pale jinsi ya kutumia huku wakipiga picha,leo tarehe 9/7 nimekuta nimetokea kwenye tangazo la bidhaa yao wanayouza bila makubaliano yoyote,naweza kuwashitaki?
 
Tuwasubirie wanasheria, nimewahi kusoma Mambo kadhaa ya kisheria, nadhani kwenye Mambo kadhaa ya sheria za tort Kuna uwezekano wa hao watu kuwa liable, tusubirie wana taaluma katika eneo hili!
 
Back
Top Bottom