Mimba za wanafunzi na mashtaka yake

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
8,342
11,227
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu huu utaratibu wa kukamata na kushitaki mtu kwa madai ya kumpa mimba mwanafunzi. Tuachane na wale wanaobaka na kumpa mimba mwanafunzi, ambao tayari wana kosa la kubaka, then hili la kumpa mimba linafuatia; mimi naongelea kesi kama mwanafunzi alikuwa na mahusiano ya "makubaliano". Nimeweka kwenye quotes kwa kuwa hakuna makubaliano na minors bado inakuwa statutory rape, lakini nataka tuondoe ile hali ya ubakaji wa nguvu ambao unaacha ushahidi. Say, hakuna ushahidi wowote wa ubakaji isipokuwa binti kupimwa na kuonekana ana mimba na kusema ni mimba ya fulani.

Kisayansi, najua kupima DNA ya mtoto akiwa tumboni inawezekana ingawa ni vigumu na siamini kama hapa Tanzania hilo linafanyika wakati wa kesi. Nina maswali mawili naomba wanaojua sheria wanisaidie.

1. Kama mtoto hajazaliwa, wanawezaje kumshitaki mtu kwa kosa ambacho uwezo wa kudhibitisha kinakuwa bado mpaka mtoto azaliwe?
2. Ikitokea mtoto amezaliwa na ikagundulika kuwa, aliyeshitakiwa au kutiwa hatiani sio mhusika, hatua gani anaweza kuchukua? What is the remedy to him? Can he sure the state or the student for compensation?
 
kitendo cha kumgegeda mtoto ni jinai tosha ya kukuwezesha kwenda jela kufanyishwa kazi usiku na mchana, ukiwa mzembe utapigwa mateke.

mtu mzima huwezi kukubaliana na mtoto "mwanafunzi" zaidi ya kumlaghai tu

na ikibainika umempachika na mimba kabisa ufungwe tu hata kama mtoto si wako zaidi ya wewe kumgegeda


kaa mbali na wachana na watoto wa jamhuri ni mara 100 ukanunue makahaba buguruni ni buku 5 tu
 
Back
Top Bottom