Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Katika kesi inayonikabili baada ya kuendelea hapa mahakama ya mwanzo. Kufikia upande wa shahidi wa utetezi yaani mimi kama mtuhumiwa. Mbele ya hakimu nlisema ninao mashahidi 2, ambao ni mtu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mwenye utaalam
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Wakuu habari, Katika sheria ya kazi hapa nchini ( Employment and Labour Relaton Act) ya mwaka 2004 inabidi ifanyiwe amendment. Sheria ile ni miaka 13 tangu itungwe. Sasa kuna viwango vya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam. Kama heading inavyosema. Naomba kufahamu maana kesi nyingi watuhumiwa wanasema waliteswa na askari polisi mf watuhumiwa wa kesi ya Msuya. Karibuni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina kesi tangu 2008, mpaka sasa bado inainaendelea. Tumeshinda kesi hiyo ktk ngazi ya usuluhishi, uamuzi na tukafika mahakamani kwa ajili ya ukazaji wa hukumu, hukumu iliakazwa na ikaamuliwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa miaka kadha sasa walimu wamekuwa wakilalamika kuhusiana na chama Chao cha cwt kuwa hakiwatendei haki hasa za kuwatetea kupata stahiki zao kwa mwajli ikiwa pamoja na kupanda daraja, mazingira...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kumetokea mkanganyiko sehemu ya kazi ambapo imebidi nije na uzi huu. Kwa kawaida sehemu hii ya kazi kuna neno gratuity hutumiwa kuwa utalipwa baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili yenye mkataba...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
*Ya haraka jamani* kama unayeyote unayemfahamu aliyesoma sheria na GPA ya 3.8 & 4.0(Bachelor & Masters) + *Law School* na yuko interested kufundisha chuo kikuu, SAUT anaweza kutuma CV na details...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, Naomba kufahamu kuhusiana na sheria ya mafao (Pension). iwapo nina wafanyakazi ambao ni part time, mfano daktari anayefanya kwenye kituo cha afya kwa masaa, sheria inanitaka nifanye makato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdau mwenye case law ambayo ime rule out jaji kutokujitoa kwenye kesi bila sababu ya msingi. Naomba wadau
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*Judgment of the Human Rights Court of Strasbourg -France* *Unanimously, the World Court of Human Rights has established, verbatim, that "there is no right to homosexual marriage." The 47 judges...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ameiingizia kampuni hasara, ameikosesha serikali hasara, amewakosesha wananchi usafiri na ameitia nchi aibu kwa majirani waliokuja kujifunza usafiri huo nchini. Akamatwe tu.
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Maswala ya watoto naona hayazungumuziwi sana humu,kuna sheria nyingi zinazomtetea mtoto lakini zinazomkemea mtoto pia ni chache sana. kwa kuanza,nashauri kuwe na sheria inayomkataza mtoto kutumia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za sahizi wanajamvi mnamo mwaka 2011 nilikutwa na hatiya ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa mujibu wa mahakama walivyo hamua shauri...
7 Reactions
103 Replies
12K Views
Salaam, Ndugu zangu kwa uelewa wangu mdogo ninajua kuwa mtoto ni chini ya miaka 18 kwa hapa Tanzania. ----Mzazi wa kiume ( baba) anapaswa kumuhudumia mtoto wake mahitaji yake yote muhimu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
STAAJABIKA NA NA KESI HII YA MAUAJI YENYE UTATA ZAIDI. March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari waungwana. Niko na mjomba wangu ana umri wa miaka 17 wa kiume kajenga mahusiano na msichana alie na umri sawa na huo maana wako darasa moja. Jana jioni mtoto wa kike alikamatwa na barua...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wataalam, Naomba kufahamishwa tofauti ya hizi taasisi: 1. Societies (vyama/jumuia vinavyosajiliwaga na wizara ya mambo ya ndani) 2. NGOs (taasisi zinazosajiliwaga na wizara ya ustawi wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salama ndugu, Kuna mwalimu ana project ya kufuga kuku wa biashara kwenye nyumba ya shule, Usiku wa jana tukiwa kwenye mechi, Paka watatu wa mwalim aliye nyumba jirani kala vifaranga/kuku wenye...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Back
Top Bottom