MAN OF PEACE
Senior Member
- Jul 12, 2014
- 193
- 189
Heshima kwenu wa kuu,
Naomba ushauri juu ya sheria za kazi.
Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi mkataba wangu uliisha tarehe 30/04/2018, nimefanya kazi mwezi wa tano mzima na mshahara wamenilipa kama kawaida lakini jana tarehe 08/06/2018 wakasema hawawezi kuendelea na mimi tena bila sababu za msingi.
So kisheria hii imekaaje haki zangu nazipataje?