Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ndani ya nyumba moja ilio na vyumba 4 ambavyo vinapangwishwa katika vyumba hivyo kimoja wanakaa mtu na hawara wake ambapo Mwanamke mwenye asili ya Tanga anasadikiwa kumuuu mwnaume wake huyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mzigo huo wanajamvi angalau tujue haki zetu za msingi mana mambo hayatabiriki kila siku kunaibuka mapya.Angalau nawe unajua mawili matatu ili usiwe mweupe sana kiasi ambacho hata mwajiri akileta...
4 Reactions
2 Replies
44K Views
Majigambo ya ni kama hauna hela mfukoni mheshimiwa wakili??! Bora mwanangu akasome ufundi mchundo VETA kuliko nimpeleke akasome kozi ya sheria. Vijana wetu pale law school na kwenye vyuo vingine...
5 Reactions
16 Replies
6K Views
Nawasalimu, binafsi sijawahi kutumia hiyo kitu tangu nizaliwe na wala sina matarajio ya kutumia hiyo kitu. Hizo mbegu huwa ninasafirisha kutoka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
How does power monger affect social contract in africa
0 Reactions
0 Replies
802 Views
  • Closed
Wanasheria naombeni msaada katika hili, Je kuna umuhimu au ulazima wowote katika kesi ya Mirathi kuwa na "Kaza Hukumu" kama ilivyo katika kesi nyingine zinapomaliza kutolewa hukumu?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Hivi kwa mfano nikaona mkuu wa mkoa ana overtake barabarani sehemu ambayo hairuhusiwi nikapiga picha gari yake na kuirusha kwenye mtandao wa kijamii ni kosa kisheria
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Jana Rafiki Angu Amekamatwa Mida ya saa 9 jioni akapelekwa Mabatini Baada ya kufatilia tukaambiwa Amekamatwa kwa kosa la “WIZI WA KUAMINIWA” Alie mshtaki ni Boss wake “KAMPUNI YA UJENZI”...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani nina mapendekezo na pia nina maswali, nahisi kila mtu atakua anajiuliuza au alisha wahi kujiuliza pia... inawza kuwapia imeshaongelewa hapa...(JF) .... swali langu ni kwamba , hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Akiri kosa na kuomba radhi Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Concervative bwana David Cameroon, leo imebidi aombe radhi baada ya kuonekana wazi anafunja sheria ya barabara ambayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo huko DSM high court serikli ilikuweka pingamizi tena kutaka ku appeal uamuzi wa jana wa Jaji Rumanyika. Hivi hii sheria bado inatumika au vipi. Stanley Mitchell Quote: "Prior to 14th...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Leo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni miaka mingi imepita kama sita hivi.Kwenye familia ya Baba yangu kulitokea ugomvi kidogo.Mdogo wa baba wa mwisho alienda kwenye shamba la kaka yake akachuma mazao yasiyofika hata thamani ya elfu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nisipoteze muda niende mojakwamoja kwenye maada Hivi uki oa mwanamke ambaye ameachika na amezaa watoto na akawaacha kwa baba yao Baada ya muda akaolewa na kwenda kuanza maisha mapya na mungu...
0 Reactions
3 Replies
813 Views
Nimesikia mara kwa mara kwamba Mahakama Kuu hutoa Hukumu kulingana na Sheria (wana bold spirit) lakini Mahakama ya Rufani imekaa kisiasa zaidi (wana timid spirit na hawataki kabisa kufungua...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wanajamiiiii habarini kama heading inavosema,nilipenda kumjua uyu bwana jebra kambore kwa undani kama mwanasheria.Nilipenda kujua nilipi haswa ameishalifanya kama mwanasheria ambalo lilimfanya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hellow learned fellows, I am a respondent in an Appeal to The High Court (Labour Division) representing myself, where the Appellant is represented by a professional Advocated. What bothers me...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi samahani afisa kazi mfawidhi ana mamlaka gani kwenye migogoro ya kazi msaada plz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mada inajieleza. Hivi kama unadaiwa bill, na bahati mbaya uko kwenye mchakato wa kulipa, ni sheria IPI inayowapa mamlaka ya maji kuja kukata maji na kuchukua mita bila mtu yeyote kuwepo na mita...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilishinda kesi ya jinai katika Mahakama ya mwanzo (kuvunjiwa na kuibiwa). Baadae nikashauriwa nifungue kesi ya madai ili nilipwe haki zangu yaani pesa inayolingana na thamani ya vitu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom