mapendekezo katika sheria za nchi.....!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mapendekezo katika sheria za nchi.....!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwana Mapinduzi, Mar 21, 2008.

 1. M

  Mwana Mapinduzi Member

  #1
  Mar 21, 2008
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nina mapendekezo na pia nina maswali, nahisi kila mtu atakua anajiuliuza au alisha wahi kujiuliza pia... inawza kuwapia imeshaongelewa hapa...(JF) ....
  swali langu ni kwamba , hivi kunasheria katika nchi yetu ama kipengele cha sheria ambacho kinaruhusu viongozi wa nchi ambao wamesha maliza muda wao kupelekwa mbele ya sheria(kushtakiwa) either kwa makosa yao au kwakula rushwa au matumizi mabaya ya madaraka n.k. kama zipo mbona kina mkapa bado wapo mtaani...?


  swala la pili ni pendekezo langu kuhusu bungeni... kungekua na wajumbe maalum ambao watapiga kura ili hoja ipitishwe... wajumbe hao ni hao wabunge fro each party... but kuwe na idadi sawa ya wajumbe kutoka kila chama ... hii ingesaidia kuwe na usawa katika kupiga kura kuamua au kufanya maamuzi ya sera zinazoletwa bungeni... coz kama tutaendelea hivi , miswada(bills) nyingi zitakua zinapitishwa na CCM tu... hata kama hazina manufaa kwa taifa, ila kama zina manufaa kwa CCM basi zitakua zina pita tu...


  hayo ndio maoni yangu... kama kuna mtu atakua ameielewa vizuri hoja yangu anaweza iweka fresh ili watu tupate kuelewana na kuchangia mawazo yetu...
   
Loading...