Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mada inajieleza. Hivi kama unadaiwa bill, na bahati mbaya uko kwenye mchakato wa kulipa, ni sheria IPI inayowapa mamlaka ya maji kuja kukata maji na kuchukua mita bila mtu yeyote kuwepo na mita...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilishinda kesi ya jinai katika Mahakama ya mwanzo (kuvunjiwa na kuibiwa). Baadae nikashauriwa nifungue kesi ya madai ili nilipwe haki zangu yaani pesa inayolingana na thamani ya vitu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua formula ya kutafuta haya malipo kwa Tanzania.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
This Question requires explaining the meaning of the business association
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Heshima kwenu waungwana. Naomba msaada wenu wataalam wa sheria...mwaka jana nilimwekea kaka yangu dhamana ktk kesi ya madai inayomkabili iliyofunguliwa ktk mahakama ya mwanzo hapa Ilemela...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Mi nimeshindwa kuielewa hii kodi, Huu mwezi wa 11 nimefanikiwa kuanzisha biashara yangu sasa nimefuatilia kila kitu na kwa levo yangu kodi nikaambiwa ni 150000 ambayo unaweza...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nilikuwa nafanya kazi kampuni S nilikaimishwa nafasi 2 za uongozi (meneja lkn pia mkuu wa idara) kumbuka mm nilkuwa mfanyakazi wa kawaida, likaja gari la mafuta lenye Lita 18,000 lakini invoice na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wasomi katika sheria ni nyanja ipi ina Legal problems nyingi kwa sasa hivi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wakuu habari!! Mwenzenu kuna Boss kanifungulia kesi ya kumwibia hela ofisini kwake kitu ambacho si kweli kwani mimi siko ofisini toka mwezi wa 4. Ilikuwa hivi nilkua nafanya kazi katika taasisi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Taratibu za kuongeza jina la tatu upoje kwa taratibu zilizopo kwani Nina majina mawili yaliyopo hadi kwenye vyeti vyangu vya academic ,sasa hilo jina la tatu naliongezaje ,msaada!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Naomba hapa tuandae orodha ndefu ya sheria zote ambazo zinatumika Tanzania, na viambatisho vyake vikipatikana. Jina la Sheria. Mwaka. Kiambatisho kama kipo. 1. Sheria ya Huduma ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kawaida kesi za kikazi CMA inatakiwa zimalizike baada ya muda gani wadau?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua hivi sheria inawalindaje/inawahumu vipi wazee wakorofi wanaopenda matusi, kubaka watoto wadogo na mambo mengine ya kinidhamu
1 Reactions
2 Replies
894 Views
Naomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya. Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake, Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ndugu Wasomi wa humu. Naandika nikiwa jimbo mojawapo la nchi ya China. Ninaomba msaada wa kisheria. Nilikata tiketi na kampuni Emirates mwezi wa tisa mwaka huu ya kuja hapa jimbo nilipo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naombeni mwenye labor laws PDF document.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria na nyanja zake kwa ujumla. Sasa, binafsi ninaomba kufahamishwa/kuelezewa hii kitu kwenu mlio/mnaosoma sheria kwenu ina maana gani...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Naliandika hili katila jicho la sheria, na kwa malengo mahususi ya kitaaluma, ya kujifunza, na kufunua wigo wa yale tusiyoyajua. MY DISCLAIMER : sihusiki kwa vyovyote, au kwa namna yoyote na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom